Serikali rudisheni kodi ya viroba mliyokusanya

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Watanzania tujitahidi kuhoji kwa nini tunakubali kufunga midomo wakati sheria za nchi zinavunjwa?

Wazalishaji wa viroba na wasambazaji wote wamepitia process zote zilizohitajika na mamlaka husika ya kuruhusu uwekezaji na kufanya biashara katika nchi husika. kwa sababu hiyo serikali imekuwa ikikusanya kodi kutokana na uzalishaji huo na usambazaji kwahiyo viroba vimekuwepo kwa ruhusa ya serikali na kwa sheria halali.

Kama serikali imeamua kusitisha uzalishaji na usambazaji wa viroba basi wangetoa muda wa kutosha pia kuwalipa fidia wawekezaji walioingia hasara kwenye mabenki kwa ajili ya uwekezaji huu, hata hivyo serikali ilisha chukuwa kodi ya bidhaa zote zilizozalishwa, kama kweli wameona viroba ni haramu warudishe pesa zote kwa wafanya biashara hizo haramu, haiwezekani kiroba haramu kizae pesa halali ya kutumiwa na serikali.
 
Sasa huku jamii forum wamrudishie nani ama wewe ndo center of power?
 
Ni muhimu consideration ya kurudisha kodi ikafanyika ili kuwapunguzia hasara wazalishaji wakafanye kazi nyingine
 
Back
Top Bottom