Serikali ongeza , maoni haya ya wadau; mazungumzo mapya ujenzi wa Bagamoyo port

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
Nimepata taarifa China wanataka mazungumzo na serikali kuhusu ujenzi wa Bandari Mpya ; Serikali waongeze masuala haya kwenye mazungumzo yao.

1.FEEDER SHIP- zisiruhusiwe ku berth bandari ya Bagamoyo. Hizi meli zipark bandari ya Dar es salaam, Tanga na Mtwara. Feeder ship maana yake- Meli kubwa haziwezi kuja Bndari zetu za Mombasa na Dar es salaam. Mizigo inaenda moja kwa moja South africa. Mizigo ya Kenya , Beira na Dar es salaam . zinaletwa na meli hizo ndogo. Toka uhuru 99% Meli zinazokuja ni Feeder ship.
Hii itawalazimisha wachina kuleta meli kubwa za mizigo.

2.Bagamoyo iwe TRUNCK ROUTE ( HUB YA BANDARI ZOTE ZA KUSINI MWA AFRICA)- Hii itasaidia mizigo ambayo ilikuwa inapelekwa bandari ya Pretoria. Kuwa inshushwa Bandar ya Bagamoyo na Feeder ship zinapeleka kwenye Bandari za Mombasa, Beira , Africa Kusini , Dibout na zanzibar

3. Meli zinazotakiwa kupark (berth) ziwe na Draft kuanzia 14M na kuendelea Ikimaanisha mzigo iliyobeba bila Maji. ikiwa chini ya Darft ya 14 . ika berth port za Dar es salaam , Mtwara au Tanga; Urefu wa meli iwe kuanzia Viwanja viwili vya mpira.

Naunga mkono ujenzi wa Bandari sababu Giant wa Dunia ni China na Marekani ; Na sisi Kidiplomasia tunawamudu. Hatuangaiki kutafuta Urafiki , Urafiki wetu ni wakiistoria. Tutumie Mgongo wa China Kutuvusha. Japani , South Korea zimejengwa na USA.

GOOD BYE....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom