Serikali ni bora mfukuze watumishi wote kisha muanze upya kuajiri wale mnao wataka

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,596
3,639
krki.jpg
 
Niliajiriwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi wa umma, na nitafukuzwa kwa sheria na kanuni za utumishi wa umma, sawa bro?
unaogopa nini kufanyiwa tathmini? kwani wewe hutimizi wajibu wako? kwanini usifanyiwe tathmini? unaogopa nini? mbona private sector ni swala la kawaida? punguza deko
 
Hao wanaofanyia wenzao tathimini wao wamejitathimini?wanaandaa njia za kulipana posho ilhali hao wanaotaka kuwatathimini wanamaisha ya aibu sana,hawa viongozi sijui wanawazaje Sielewi,sijaona hata anaekuja na wazo la kuboresha mazingira ya watumishi kila siku wanawaza kuwakomoa tu.
 
Dawa yao ni hii : 2% ya expertise yako ni kuitumia serikalini kufanya kazi, 98% ya expertise yako unaitumia kutafutia maisha yako nje ya muda wa kazi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom