Serikali: Ndoa za jinsia moja hata wanyama hawana

Dr. Mpango kama kiongozi wa nchi anapaswa kutoa tamko ambalo litataeleza msimamo wa nchi na siyo kuishia kutoa ushauri
Atoe msimamo kwa familia yake na imani yake lakini sio kudictate maisha ya watu ambayo hayamuhusu wala hawalishi na hajui wana misimamo gani na wana imani gani ni haki ya mtu kuishi kwa amani na haki zake zikopale pale awe shoga au la kwa hiyo tusileteane uhanithi
 
Hiyo misaada munayoomba ulaya isije na masharti ya kukubali mila na sheria za wazungu, Kama vipi muikatae
Tangu lini ukakopa bila masharti mnajidanganya tu ili msiaibike tuanze kuishi kwa kuheshimiana kwani tutaendelea kwani ubaguzi ni kitu kibaya sana na hurudisha nyuma jamii
 
Atoe msimamo kwa familia yake na imani yake lakini sio kudictate maisha ya watu ambayo hayamuhusu wala hawalishi na hajui wana misimamo gani na wana imani gani ni haki ya mtu kuishi kwa amani na haki zake zikopale pale awe shoga au la kwa hiyo tusileteane uhanithi
Aiseee
 
Wewe Vp unataka kuolewa?! Mbona kama unatetea ushoga mjomba?!
Sasa mimi ndio nimegeuka mada?

Hilo swali huwezi kujibu?

Ndio maana huwa namuomba mtu kabla ya kujadiliana naye haya mambo aweke mihemko pembeni ili twende kwa hoja.

Wewe unaanza kung'ang'aniza mimi niwe mjadala halafu mjadala tuliouanza vizuri unaukimbia.
Unaanza kuandika kwa mihemko.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika Televisheni.

Dr. Mpango ameyasema haya wakati akiongea na Waumini wa Kijiji cha Kasumo Mkoani Kigoma baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Kijiji hapo ambapo
amesema kumekuwepo na mmomonyoko wa maadili ikiwemo ndoa za jinsia moja ambazo hazipo hata kwa Wanyama hivyo Wazazi waangalie Watoto na Vijana wanaangalia nini ili kuondokana na kuwa na Taifa la ajabu.

“Hili ni gumu kweli, maadili ya Nchi yetu yameporomoka sana, yaani na mengine hata kuyasema ni ngumu, ndoa za Wanaume wawili?, ndoa za Wanawake wawili? mliziona wapi? hata Wanyama hawafanyi hivi”

Kwa upande mwingine, Dr. Mpango amewaasa Wananchi wa Kasumo na Mkoa wa Kigoma kwa ujumla kutoa ushirikiano wakati huu ambapo Serikali inafanya ujenzi wa miundombinu ya Barabara katika Mkoa huo ambao ni nyenzo muhimu kwa biashara na urahisi wa kufikia huduma za jamii kama vile Hospitali na Shule na kuzingatia pia kuwapa Wawekezaji ushirikiano ikiwemo kuzingatia bei halisi za ardhi katika maeneo yao ili kutowapoteza.
Kasoro kuku pekee huyo ni ana excuse maana tundu moja hilo hilo
Mapenzi
Haja kubwa
Haha ndogo
Uzazi
Romance
Hewa chafu
 
Wemwenyewe mama tu , unabweka nini kama jibwa koko
Mshenzi wewe mbwa koko ni mama yako huna adabu mlete mama yako nimfire alafu uniheshimu kama baba yako malaya mkumbwa wewe mbona unafirwa kila siku alafu unaficha na una ukimwi huambii unaolala nao unaambukiza watu makusudi muuaji mkuu wewe
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika Televisheni.

Dr. Mpango ameyasema haya wakati akiongea na Waumini wa Kijiji cha Kasumo Mkoani Kigoma baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Kijiji hapo ambapo
amesema kumekuwepo na mmomonyoko wa maadili ikiwemo ndoa za jinsia moja ambazo hazipo hata kwa Wanyama hivyo Wazazi waangalie Watoto na Vijana wanaangalia nini ili kuondokana na kuwa na Taifa la ajabu.

“Hili ni gumu kweli, maadili ya Nchi yetu yameporomoka sana, yaani na mengine hata kuyasema ni ngumu, ndoa za Wanaume wawili?, ndoa za Wanawake wawili? mliziona wapi? hata Wanyama hawafanyi hivi”

Kwa upande mwingine, Dr. Mpango amewaasa Wananchi wa Kasumo na Mkoa wa Kigoma kwa ujumla kutoa ushirikiano wakati huu ambapo Serikali inafanya ujenzi wa miundombinu ya Barabara katika Mkoa huo ambao ni nyenzo muhimu kwa biashara na urahisi wa kufikia huduma za jamii kama vile Hospitali na Shule na kuzingatia pia kuwapa Wawekezaji ushirikiano ikiwemo kuzingatia bei halisi za ardhi katika maeneo yao ili kutowapoteza.

Rum 1:28​

Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.

Kwa kuzingatia kifungu hicho, jibu la kawaida kwa swali "Ni dhambi gani ya Sodoma na Gomora?" ni kwamba illikuwa ushoga. Hiyo ndivyo maana neno "ushoga" lilitumiwa kurejelea ngona kati ya wanaume wawili, ikiwa ni ya kukubali kibinafsi au ya kulazimishwa. Kwa wazi, ushoga ni sehemu ya sababu Mungu aliharibu miji miwili. Wanaume wa Sodoma na Gomora walitaka kufanya ubakaji wa ngono za ushoga kwa malaika wawili (ambao walikuwa wamejificha kama watu)
 
Back
Top Bottom