Serikali nayo haiheshimu mahakama? Kuhusu mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali nayo haiheshimu mahakama? Kuhusu mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by drgeorge, Jul 2, 2012.

 1. d

  drgeorge Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bungeni suala la mgomo linakatazwa na Spika lisizungumzwe eti kwa sababu lipo mahakamani, lakini serikali imeendelea kuwafukuza madaktari na hata hotuba ya Rais bado imeendelea kutoa matamko ya utekelezaji japo ni dhaifu na inaupotoshaji mkubwa, Je huko si kutoheshimu mahakama? Naombeni msaada hapa
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Labda mie ndio sielewi, juzi bunge (wabunge wa CDM) walikatazwa kabisa kuzungumzia suala la kwa ksingizio kuwa suala hili tayari la Madkatri liko Mahakama ya Kazi na Pinda nae alishindwa kutoa msimamo wa serikali kutokana au kwa kile alichoeleza kuwa suala hilo lipo mahakamani na kufanya hivyo angekua anaingilia uhuru wa mhimili mwingine ambao "ulishalalamika" kuhusu kuingiliwa huko, LAKINI jana JK kalizungumzia suala hilo kwa kirefu sana as if hakukua na issue nyingine ya kuongea hali akijua fika kwamba suala hili lipo Mahakamani, sasa je JK ndio Mahakama? au Raisi yuko juu ya Mahakama? au tuelewe nini kuhusu kuzuiwa kuzungumziwa kwa suala hili bungeni????

  Wote tulizaliwa na mwanamke, na wote sisi ni wa MUNGU, na sisi sote kama tulivyozaliwa ndivyo tutaondoka Duniani kumrejea Muumba; kwa heri au shari!!!!! Mungu Ibariki Tanzania
   
Loading...