SERIKALI:- Nani aliwaroga makazima mitambo ya ANALOJIA?!?!??

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
jibu swali sasa unatazama sred ya Nini kupoteza Muda wetu tu, jibu swali Kama hujaelewa sema "pardon!!" manake mtaani KWETU watu wanaangalia cd tu nowadays. Ukifungulia king'amuzi mgandomgando mwanzo mwisho.. Ukiwaona Startimes unaambiwa nunua antena yao unanunua, kesho tena wanakupa maelekezo mengine kwamba elekezea antena huko Kisarawe basi kutwa kucha watoto wanapanda mabatini wee, mgando uko pale pale. Tumerudi hatua mia moja nyuma..Kama sekta Muhimu ya mawasiliano serikali inawekeza uozo this way JE hizo Gesi, Madini itakuwaje.. Embu acheni Gesi yetu Na Madini yetu mpaka tutapokuwa Na akili Za kututosha tuchimbe wenyewe..serikali ya Vilaza iwekeze nini kistawi..
 
Back
Top Bottom