Serikali na watumishi wake wakati wa sikukuu!!!

Kayabwe

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
354
51
Kwa kawaida serikali huwa haijali watumishi wake na familia zao watakula je sikukuu kama xmass,pasaka na Idd.Nani mtumishi ambae hadi leo amepewa mshahara aseme tupongeze halmashauri/idara husika.Nawasilisha..
 
Hapo sawa washukuru ma ded wenu lkn 2015 kura kwa Chadema!!
 
Kwa kawaida serikali huwa haijali watumishi wake na familia zao watakula je sikukuu kama xmass,pasaka na Idd.Nani mtumishi ambae hadi leo amepewa mshahara aseme tupongeze halmashauri/idara husika.Nawasilisha..

Tumbushane, tarehe hasa ya kulipwa mtumishi mshahara wake kisheria ni ipi? Kwetu mpaka tarehe 40 poa tu. Kwa uzi huu nahisi harufu ya kuonewa na madhara ya kuchelewa kulipwa nayaona kwa mbaali!
 
tehe tehe

mimi hata wasinipe mshahara wao.

wanipe siku za mapumziko tu.. mathalani siku5 wakati wa christmass ikijumuisha na weekend. mtu unaenda ofisini mwili nafsi iko kwenye sikukuu kaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom