Serikali na Waangalizi wa Haki za Wanyama wamuonye haraka Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera kwani anatukana na anadhalilisha mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Kila akihojiwa tu na Waandishi wa Habari lazima utamsikia akitamka maneno ya ' Mboo ' au ' Boo ' huku mara kwa mara akitamka neno la ' Meee... Meee ' tena Kidharau kabisa hali ambayo inaonyesha kuwa anavidhalilisha Viungo vyetu vya Uzazi Sisi Wanaume ( namaanisha Mikuyenge yetu iliyotukuka ) huku akiwanyanya sana Mbuzi wetu kwa kuwaita mara kwa mara utadhani kuna Kitu wamemkosea.

Aonywe upesi / haraka tafadhali.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom