"Serikali na Vikao Vya Usiku wa Manane!. Sii Bure!, Lazima Kuna Jambo"!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Serikali na Vikao Vya Usiku wa Manane!. Sii Bure!, Lazima Kuna Jambo"!.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pascal Mayalla, Aug 7, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,565
  Likes Received: 18,307
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Niko hapa mjini Dodoma kwa ya kwangu, haya na yale. Saa hizi ni saa saba za usiku!, kwa maana nyingine ni usiku wa manane, nimepita hapa ukumbi wa Ustawishaji Makao Makuu, Kuna Kikao muhimu cha serikali mpaka saa hizi!.

  Kuanzia Mukulu, Vice na PM wote wapo na hapa nje kumesheheni yale magari yenye plate number zinazoanzia W.... na hizi nyingine zinazoanzia NW na zile Prado mpya za mapiesi!.

  Kwa vile huu ni usiku mkubwa, kiafrika watu wanaofanya shughuli usiku hivi huitwa wanga!, ili kuhalalisha serikali yetu haifanyi vikao vya kuwanga usiku hivi, hii inamaanisha kuwa vikao hivi sii bure, lazima kuna jambo kubwa la dharura!.
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu huwezi ukapenya ndani ya kikao ukatuletea mawili matatu?
   
 3. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  avae gamba kwanza ili asishtukiwe na wakuu!
  Kuna Jambo.
   
 4. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Tutajua tu hata kama sio leo,tutajua jana so lazima tutajua
   
 5. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  Usihofu mkuu,
  Ngoja waliomo ndani ya vikao watoke wengi wao ni members wataleta tu habari.
  Nazisubiri kwa hamu!
   
 6. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  Umesema jambo jema sana.

  Pia akhsante kwa taarifa nyeti hiyo.
   
 7. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  je wakuu wa bakabaka wamo nao? Pengine wana-discuss ku-give up ziwa nyasa kufuatia mkwar wa malawi! Ingekuwa enzi za mwalimu ultimatum ingeshatangazwa....'adui katuvamia, nia tunayo, dhumuni tunalo....'
   
 8. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  hawajatoka
   
 9. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  serikali hailali...safi sana
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  na twiga wanaibwa,,,,,,labda hailal usiku,mchana inalala,na ilalapo mchana wao huiba
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  me nahisi maadhimisho ya 88
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Labda utuambie Pasco, kikao kilianza usiku huo wa manane au kilianza mapema but mpaka mida hiyo kilikuwa bado hakijaisha!!!
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vita ni pesa na sirikali ya jeikei hela yote wamekula wanaogopa kutangaza maana tunaweza chapwa wakaja kuchukua hadi ikulu.
   
 14. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka hapo kwenye uwepo wa mkulu umetuongopea kwakua mkulu hayupo nchini hebu pitia upembuzi wako kwa kina, na kuhusu kuwepo kwa vikao vya usiku ni kwa ajili ya uwepo wa Bunge na huu mfungo wa ramadhani kwahiyo kama kuna vikao vya kiserikali hawana namna ya kuanza vikao mapema lazima waanze late hivyo kwa kufika muda huo na maadam havifanyiki uchi na ni halali waacheni wavifanye
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Pinokyo Jujuman, unatisha sana.

  Umeweka sababu ambazo kwa harakaharaka zina mashiko, lakini kama ni jambo la dharura la kiserikali, hujui kuwa Executive ni Mhimili unaojitegemea na hausubiri wajumbe wamalize kwanza Bunge ndipo wakutane! Chezeya sirikali wewe!

  Hapo lazima AIBU YA CHENGE kuwa MKiti wa kamati ya Bunge na chenchi ya rada vinajadiliwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Acha ubishi wewe mkulu yupo dom na anasepa leo
   
 17. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  wizi ni mda wote tu haina mchana wala ucku.kwako kuna mlizi bado kunaibiwa...hyo co ishu
   
 18. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  mimi nahisi suala la malawi linajadiliwa,maana imeshakuwa kasheshe!
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Labda kuna dili ya madini ilikua inajadiliwa na kila mtu anataka kujua cha kwake ni kiasi gani
   
 20. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nchi inaelekea sivo na CDM wanachukua popularity mno. Kwani wao wajinga, si umeona walivokimbia kupeleka hoja ya fao la kujitoa mapema. Inanikumbusha tulivokuwa watoto na ukiwa mmbeya unavowahi kusema kwa mama.
   
Loading...