Serikali na unyanyasaji kwa Mbowe

Hapa tunadanganyana tu! Kwa ujumla hizi ni siasa za visasi na kukomoana, hakuna cha Kodi wala Mazingira hapa!
Hivi tangu lini DC akafuatilia ulipaji kodi na utunzaji wa mazingira?
Kuna TRA na NEMC ndio wahusika katika madneo hayo mawili. Sasa huyu DC kichwa maji anaingiliaje maswala hayo?
Lakini pia hata kama ni kweli kuwa Mbowe ana tatizo hilo la kutolipa kodi,vipi kuhusu Viongozi wa CCM wenye biashara zao wanalipa kweli?
Namshauri Mbowe na CHADEMA wafanye utafiti kwenye biashara za vigogo wa CCM kama kina Rais mstahafu Mkapa na mkewe, Rostam Aziz, Riz Kikwete, Antony Diallo na wengineo kama kweli hawadaiwi?
Unajua kazi za DC au unaongetu mkuu.
 
Ndiyo maana katoa agizo, huyo ni DC
 
Hahahahaha Mkuu fuatilia habari ili ujue thamani ya ndege zote zilizonunuliwa ni kiasi gani. Nimesema hakikisha uko up to date na habari husika badala ya kujaribu kubahatisha bei ya ndege zilizonunuliwa. Tatizo la TANESCO ni wanasiasa Marais na wengineo kuanzia Mwinyi, Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli hawa ndiyo maamuzi yao mbali mbali yanaiyumbisha TANESCO miaka nenda miaka rudi.
Mkuu ninaweza kukuwekea bei hapa ya moja baada ya nyingine lakini kwa sababu huu uzi unahusu Mbowe nitakuwa ninaharibu.
 
Kwanini naye hakupewa rushwa ya milioni kumi kama Wabunge wapiga madili wa MACCM!? Kwanini hakuna hata mbunge mmoja wa UKAWA aliyepewa rushwa ya milioni 10!? Tafakari kwa kina na utie akili kichwani badala ya kutoa povu zito.
Kwa bahati nzuri mm nilishaachana na biashara ya kushikiwa akili, kwani unapokuwa huru ndo waweza kujua madhaifu-hata mm pia niliwahi kuwa mwachama wa baadhi ya hivi vyama vyetu-kwa namna hizi-nikaamua kuwa huru, kwani sipendi leo kuaminishwa kuw hili ni jiwe alafu kesho tena unaniaminishwa kuwa si jiwe bali ni gari -nami makofi pwa pwa pwa!-kuwa huru bro
 
Mbona wenziye huwa wakibanwa wanalipa? Yule wa AZAM Mbona alilipatu nayule wa quarty mbona nayeye katimliwa na katoka kwanini huyu mnamtolea povu sana?
 
Ungekuwa hushikiwi akili kamwe usingeunga mkono upumbavu na uozo unaoendelea nchini ambao Mwinyi, Warioba na Butiku wote wameukemea.

Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu

Kwa bahati nzuri mm nilishaachana na biashara ya kushikiwa akili, kwani unapokuwa huru ndo waweza kujua madhaifu-hata mm pia niliwahi kuwa mwachama wa baadhi ya hivi vyama vyetu-kwa namna hizi-nikaamua kuwa huru, kwani sipendi leo kuaminishwa kuw hili ni jiwe alafu kesho tena unaniaminishwa kuwa si jiwe bali ni gari -nami makofi pwa pwa pwa!-kuwa huru bro
 
Ungekuwa hushikiwi akili kamwe usingeunga mkono upumbavu na uozo unaoendelea nchini ambao Mwinyi, Warioba na Butiku wote wameukemea.
Nimeshakwambia bro, acha kuungaunga maneno, nyooka moja kwa moja ndo maana JK alisema jambo la kuambiwa changanya na zako-kama Mbowe alihutubia mkutano mkuu wa sdm 2015 tena ulikuwa LIVE-akasema kuwa kaamua kuwachukuwa mawaziri wakuu kutoka ccm ili wawsaidie kuunda serikali kwani wao hawana uzoefu na serikali-kama huna akili za kushikiwa ni wazi hilo lilikuwa ni kosa kubwa sana-hayo yanaonwa na watu walohuru-uwe ccm, cdm na wengineo si rahisi kugundua makosa kama hayo tofauti na kupiga makofi.
 
Yeye mwenyewe anahaha kwa jinsi jamii forum inavyompelekesha puta na Serikali yake ya one man show au hujasikia anataka kuifungia mitandao yote nchini!? Unadhani kwanini anataka kufanya hivyo!? Acha kukurupuka tia akili kichwani dogo.

Mzee kawashika pabaya mtatoka povu huu mwaka, sisi wengine hatunaga ushabiki wakijinga halafu pia matusi hakuna yaani happy tu.
 
Sina tabia ya kuunga maneno mie na hivyo siwezi kuianza leo. Mie ni ukweli mtupu mbele kwa mbele na evidence nitakuwekea. Sikurupuki mie kama wewe mtetezi wa mafisadi, wezi na wala rushwa wakubwa nchini AKA MACCM.

Nimeshakwambia bro, acha kuungaunga maneno, nyooka moja kwa moja ndo maana JK alisema jambo la kuambiwa changanya na zako-kama Mbowe alihutubia mkutano mkuu wa sdm 2015 tena ulikuwa LIVE-akasema kuwa kaamua kuwachukuwa mawaziri wakuu kutoka ccm ili wawsaidie kuunda serikali kwani wao hawana uzoefu na serikali-kama huna akili za kushikiwa ni wazi hilo lilikuwa ni kosa kubwa sana-hayo yanaonwa na watu walohuru-uwe ccm, cdm na wengineo si rahisi kugundua makosa kama hayo tofauti na kupiga makofi.
 
Kumbe baada ya muda flani Mbowe kiuchumi anaweza akawa siyo mwenzetu kabisa! Ujue jamaa hatanii na hajaribiwi.
Tatizo kubwa akina mbowe waliishi kwa mazoea-walijijenga sana kwa maneno ya ulaghai-walidhani na awamu hii pia itakuwa kama iliyoondoka-sasa hii wanakusanya kodi kwa kwenda mbele na malanyingi huwa wanafirisika kwani biashara ya kulipa kodi hawakuizoea.
 
Yeye mwenyewe anahaha kwa jinsi jamii forum inavyompelekesha puta na Serikali yake ya one man show au hujasikia anataka kuifungia mitandao yote nchini!? Unadhani kwanini anataka kufanya hivyo!? Acha kukurupuka tia akili kichwani dogo.
Mzee anafanya kazi, simlisema mnahitaji kiongozi mwenye maamzi magumu au!!!!
 
Kupitia nyuzi kama hizi...ndio unapata kufahamu....upu.mbavu wa waTanzania.....na uwezo mdogo wa kufikiri wa wanasiasa wetu.....ambao pengine kwa bahati mbaya wanaweza kuwa viongozi wetu....

Hapo unapojua kuwa kwanini taifa hili linatembea mwendo wa kono kono kuelekea huko kwenye maendeleo.......

Ukitumia akili yako vyema....na ukijivua mahaba....utagundua kuwa hapa kwetu hakuna wapinzani.....na zile harakati zako za kuwa mabedui CCM zilikuwa ni heka heka za kuhangaikia matumbo ya viongozi wanaoitwa wa upinzani na wewe ulikuwa kama daraja.........

Kiongozi wa upinzani ambaye chama chake kinapigania kuingia madarakani....kuwa na rekodi ya kutokulipa kodi au kashfa ya kutolipa kodi.....na kashfa mbaya kwa watu wanaojua maana ya kodi na wananchi wanaoipenda nchi yao.....

Viongozi wanatufanya tuwe na maoni mabaya juu yao pindi wawapo madarakani......

Utashangaa kuona kuwa kuna mtu anamtetea....na utashangaa kwa kuona kuwa hamtetei kwa documents au facts....bali kwa kuwa pia kuna mwingine hajalipa kodi.....

Can you imagine that.....

Only in Tanzania...
 
Tengeneza nchi mzee iwe kama ilivyokuwa Ribya usiangalie hao minajua watakuja kushukuru baadae, waTZ Nawajua mambo yakienda sawa utawaona tena.
 
Mbona mimi nina kibanda changu cha kuuza mbege hapa kibosho. Huu ni mwaka wa 7 sasa sijaona mtu akinifata nilipe kodi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sheria za nchi zinatakiwa ziwe msumeno kukata kote kote bila upendeleo wowote ule awe wa upinzani au wa MACCM. Unapoamua kulala mbele na wa upinzani huku ukidai kwamba wale wa upande wako hutaki kufukua makaburi ya zamani huo ni UNDUMILAKUWILI tena wa hali ya juu sana.
 
Yeye mwenyewe anahaha kwa jinsi jamii forum inavyompelekesha puta na Serikali yake ya one man show au hujasikia anataka kuifungia mitandao yote nchini!? Unadhani kwanini anataka kufanya hivyo!? Acha kukurupuka tia akili kichwani dogo.
Bro. Naumiza kichwa changu kutafakari-kwani watz walowengi wamezoea habari za udaku hata kwenye ununuzi wa magazeti pia, wanasiasa walifanya kazi kubwa sana, hasa ya kushika akili za watu na kusema uongo kuwa ukweli tokea janauri hadi desemba, kutoka kwenye hicho kufungo ni lazima ufanye maamuzi magumu bro. Leo utaambiwa fisadi na ushahidi wanao na kesho wanasema mwenye ushahidi na aende mahakamani-na unapiga makofi kwa shangwe kubwaaaaa!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom