SERIKALI NA KESI ZAKE: Mpaka Sasa Ni Kesi 4,380 Toka Mwaka 2000 and Counting..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SERIKALI NA KESI ZAKE: Mpaka Sasa Ni Kesi 4,380 Toka Mwaka 2000 and Counting.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Steve Dii, Nov 8, 2007.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Serikali imehusika katika kesi 4,380, tafadhali soma zaidi hapa chini:
  Source: IppMedia.

  --Kwenye kipengele cha mwisho hapo juu, je huu ni uhalalisho wa malipo ya kiajabu kwa Wakili Nimrod Mkono kwa niaba ya BoT?!

  --Ule utata alio uzua Waziri Magufuli nao malipo yake kwa wahusika wadai ya billion 15 (kama sijakosea) yakiidhinishwa nayo yatatoka kwenye hazina kuu?!

  Naomba maelekezo wana JF tafadhali. Lakini muhimu hapa mimi naona ni wahusika wadaiwa kufungwa kama si kuachishwa kazi mara moja.


  SteveD.
   
Loading...