Kafara
JF-Expert Member
- Feb 17, 2007
- 1,396
- 411
Ona sasa, ashasahau hata jana kasema nini, anazunguka tuu, kiongozi gani huyu.
Pamoja na matatizo yote ya ATCL, bado sielewi ni vigezo gani vilitumika kumpa David Matakka jukumu la kuendesha ATCL. Hana rekodi nzuri ya kazi huyu. Alisimamishwa kazi PPF kwa kashfa ya kuhujumu shirika. Yeye pamoja na huyu/hawa waliompa Mattaka uongozi wa ATCL lazima wawajibishwe.
wakati mwengine huwa nawaza bwana ishengoma (imma) alikuwa
company secretary wa ppf pamoja na mattaka. sasa sijui kuna "link"
yoyote hapo inayoweza kutueleza sababu ya mheshimiwa huyu kupewa
atcl. ni mawazo tuu sina chochote cha zaidi ninachokifahamu kuhusi hili