MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,826
- 5,451
Shida yenu nyie kila kitu ni kupinga. Yaani hamna zuri.Ikitokea mtu aliyekuwa anaunga kitu flani akaja kupinga jambo lingine,hamuangaiki na kuangalia nini anapinga na nini alikua anaunga mkono.Yote ni kuponda tu.ndio unagundua kama ni Upumbavu wa serikali ya awamu ya tano leo? umechelewa.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.