Serikali na Baraza la Kiswahili, futa salamu ya shikamoo

kiwiko

kiwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
998
Points
1,000
kiwiko

kiwiko

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
998 1,000
Narudia tena. Hii salamu haifai kwanza inahusishwa na biashara ya utumwa kuendelea kutumiwa na mwafrika ni kumdhalilisha mwafrika.
Pili huwezi jua nani uumpe na nani usimpe maana huwez kuwa unafanya kazi ya kukadiria miaka kila siku mpaka akili inachoka kupelekea kuleta migongano kwenye jamii kisa mtu kuona kadharauliwa akinyimwa shikamo na mtu anayemzidi umri. Salamu imekaa kibaguzi sana hasa wakubwa wakiitumia kubagua na kukandamiza waliowazidi umri. Serikali ifute hii kuondoa yote haya.
Mwisho, tutumie salamu kama tunavofanya kwenye makabila au kwenye dini zetu ambako salamu ni moja na maisha yanakwenda vizuri bila migongano. Hata nchi nyingi tu salamu ni moja na maisha yanasonga salama tu.
Tukifuta hii salamu itaongeza mwingiliano zaidi wa rika(social interaction) itakachopelekea ukuaji wa ujuzi na maarifa kutoka rika la chini kwenda rika la juu. Nidhamu ya woga itaondoka.

Serikali na BAKITA tunasubiri tamko.

cover-pic-jpg.1066536

1554789763206-png.1066537
 
mwananyaso

mwananyaso

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
949
Points
1,000
Age
40
mwananyaso

mwananyaso

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
949 1,000
Narudia tena. Hii salamu haifai kwanza inahusishwa na biashara ya utumwa kuendelea kutumiwa na mwafrika ni kumdhalilisha mwafrika.
Pili huwezi jua nani uumpe na nani usimpe maana huwez kuwa unafanya kazi ya kukadiria miaka kila siku mpaka akili inachoka kupelekea kuleta migongano kwenye jamii kisa mtu kuona kadharauliwa akinyimwa shikamo na mtu anayemzidi umri. Salamu imekaa kibaguzi sana hasa wakubwa wakiitumia kubagua na kukandamiza waliowazidi umri. Serikali ifute hii kuondoa yote haya.
Mwisho, tutumie salamu kama tunavofanya kwenye makabila au kwenye dini zetu ambako salamu ni moja na maisha yanakwenda vizuri bila migongano. Hata nchi nyingi tu salamu ni moja na maisha yanasonga salama tu.
Tukifuta hii salamu itaongeza mwingiliano zaidi wa rika(social interaction) itakachopelekea ukuaji wa ujuzi na maarifa kutoka rika la chini kwenda rika la juu. Nidhamu ya woga itaondoka.

Serikali na BAKITA tunasubiri tamko.

View attachment 1066536

View attachment 1066537
Dingi anataka kizalia toka kwa huyo binti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
1,995
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
1,995 2,000
Shikamoo ifutwe tu mana inanikeraga sana kuisema kwa mtu...shida watu wanatfsir kama ndy heshima lakin hakuna chcht. Na kingine shikamoo haimjulii mtu hali yake ila habar yako, vipi, mzima wewe, u hali gani, nk ndzo zinamjulia mtu hali.
 
kiwiko

kiwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
998
Points
1,000
kiwiko

kiwiko

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
998 1,000
Mods naomba huu uzi urudishwe jukwaa la siasa au Habari mchanganyiko maana ni suala la kitaifa.
 
Forum statistics

Threads 1,284,750
Members 494,236
Posts 30,838,738
Top