Serikali mtusaidie kufungua mifumo tupate mikopo

FATHER OF HISTORY

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
802
468
Jamani serikali fungueni basi mifumo ya mishahara ili Maafisa utumishi waweze kuingiza makato ya mikopo,sasa imekuwa kero zaidi ya wiki mbili sasa watu wanashindwa kupata mikopo Benki kwani tatizo nini?

Watu wanahitaji ada za watoto, kuna wagonjwa na mengineyo lakini mifumo haifanyi kazi wiki mbili na zaidi sasa, watu tuna matatizo.
 
Pole sana mkuu.

Utakuwa upo sahihi kuweka malalamiko yako hapa au hasira tu mkuu?
 
Back
Top Bottom