kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,070
- 10,348
yaani halafu wazazi wamekaa kimya ,ccm imeua elimuWazazi majizi hatimae na watoto yamekuwa majizi..
ccm ni kusanyiko LA washenzi.
yaani halafu wazazi wamekaa kimya ,ccm imeua elimuWazazi majizi hatimae na watoto yamekuwa majizi..
ccm ni kusanyiko LA washenzi.
Utopolo tupu!Mambo ya mkoloni yametoka wapi mbona unahorojoka kama mwendawazimu?
Huyo mkoloni ndiye aliyewafundisha kuziweka mahakama kwenye kapu la mfalme?
Unaona sasa linchi linavyoenda kilevi?
Mwenzio huyu hajui hata kama kuna mahakama! Kaamua kumpigia magoti magufuli ili ampe HISANI!
Huyo mfalme wenu amsaidie basi! Ampe hiyo HISANI.... si nilisikiaga anajiita mtetezi wa wanyonge sijui?
Yaani mnanyooshwa kweli kweli sasa mnandandia mambo tu hata hamna uelekeo mmekuwa nyumb kweli kweli.yaani halafu wazazi wamekaa kimya ,ccm imeua elimu
True. Au warudie darasa la 7 mwakani na wafanye mtihani wa darasa la 7 mwakaniDarasa la saba ana hatia gani? Kama vp wawape mtihani tofauti wawapime kivyao hao wanaofutiwa.
Unatumia nguvu kubwa Sana kuitetea serikali yako kuliko hata unayoitumia kumtafuta MunguKufutwa matokeo ipo tangu mkoloni mkuu kawadanganye watoto wenzako!
Soma tena main thread nlivyoanza.Acha utopolo wewe kijana kwani kufutiwa matokeo imeanza wakati wa Magufuli tu? Pia kama unajua inavyoratibiwa kwanini hukuripoti mapema ili washughulikiwi. Acha sheria ichukue mkondo wake kama ambavyo watz wamekubaliana.
Ubongo mgando, yaani akili yako haiwezi badirika na kuwa bora,, always to embrace the dictatorship regime.Acha utopolo wewe kijana kwani kufutiwa matokeo imeanza wakati wa Magufuli tu? Pia kama unajua inavyoratibiwa kwanini hukuripoti mapema ili washughulikiwi. Acha sheria ichukue mkondo wake kama ambavyo watz wamekubaliana.
Sifa mbili mpya za kimfumo za Watanzania zilizojitokeza miaka ya karibuni na zaidi Awamu hii ni sote ni wavivu wapiga domo vijiweni na kila mahali, na pili ni tumekuwa wezi wa kila kitu mpaka hatuaminiki tena tunaiba hata mali za Umma na kura ili viongozi wetu washinde kwa kishindo.Naongea wazi kabisa hapa. Kwa miaka mingi Serikali imekuwa ikihukumu maisha ya wahitimu wa darasa la saba kimakosa mno.
Ipo hivi...
Watendaji na wasimamizi wa elimu ya msingi wao ndio viongozi wa kuratibu cheating. Hili liko wazi kabisa na NECTA wanalijua.
Walimu wakuu wa shule za msingi hupigwa mikwara na ma RC, RAS, REO, DED, DEO, DAS, WARATIBU WA ELIMU etc. Wafanye vyovyote iwezekanavyo KUWAFAULISHA watoto. Nasisitiza KUWAFAULISHA. Na mbinu zote za kuwafaulisha huratibiwa na Walimu Wakuu na Waratibu wa Elimu katani. Wanafunzi hupokea tu maelekezo. Hawana hatia.
That being said, nawaambia NECTA na namwabia Rais Magufuli. Achieni matokeo ya vijana hao haraka. Hawahusiki.
Wajibisheni mamlaka husika, nimezitaja hapo juu. Vigezo vyote vilivyoandikwa/semwa na NECTA kuwafutia matokeo vijana hao hakuna hata kimoja kilichosababishwa na mwanafunzi. Kumbukeni hawa ni watoto wadogo sana na hufuata orders toka kwa walimu wao.
Ni muda muafaka sasa umefika, kuacha tabia ya kumfurahisha mkuu wenu. Yote haya yanafanyika kumfurahisha MAGUFULI. HII SI SAWA.
Shule zotee za uma hufake/hucheat ili tu kumpemdezesha mkuu wenu.
OMBI.
Rais Magufuli iamuru NECTA itoe matokeo ya vijana hawa 1059. Then deal with your SYSTEM.
You Wonder.... I wonder.Naunga mkono hoja. Mtoto wa miaka 12 anawezaje kuiba mtihani shuleni Kama mission haijafanywa na Walimu? Na akiambiwa majibu haya hapa mtoto kama huyo ana utashi wa kukataa?
There u r.Mtanganyika mwenzio amemwangukia magufuli kwanini unamzuia? muache atoe ya moyoni ati!?
Huko Danganyika Republic mahakama zote zimetiwa kwenye kapu la mfalme. Mambo yote yanaamuliwa na mfalme kwenye geto lake.
Hii ingelikuwa ni nchi halisi (a true republic) ungeona wananchi wanachacharika kwenda mahakamani kuweka ZUIO na kuiomba mahakama IWAAMRISHE maafisa wa NECTA kutoa matokeo.
That is called "checks and balances". Mihimili ya nchi inatizamana na kuwekana sawa.
Sasa huko Tanganyika, mahakama zote ziko kwenye kapu la mfalme. Ukikohoa unapigwa rungu la utosi.
Napingana naye alipoonyesha kuwa NECTA wanafanya hivyo ili kumridhisha Magufuli mkuu! Hilo la mgando wa akili nafikiri wewe ndiyo zimeganda zaidi kuliko kawaida!Ubongo mgando, yaani akili yako haiwezi badirika na kuwa bora,, always to embrace the dictatorship regime.
Umekariri solution moja ya zaman,, huwezi badirika ili mradi umemkingia bwanako.
Wanaowaza wamejaribu kuona tatizo liko wapi ,,,na hicho chanzo ndicho kiwajibike na siyo kumuwajibisha mtoto mdogo aliyeitwa na kuambiwa kaandike hiki na mwalimu wake.
Mkuu hawa makada wa CCM wakiambiwa kuwa inahitajika taasisi imara ili iweze kuiongoza nchi hii kwa ufanisi hawaelewi. Wao kila kitu kwao ni itikadi tu ya chama chao, weledi, utaalamu, ujuzi na miiko ya kazi wanavipuuzia. Wanaona ni sifa kumsifu na kumuabudu mtu mmoja mwenye nguvu za kikatiba ambaye anaongoza nchi kwa hisia na matamanio yake.Naongea wazi kabisa hapa. Kwa miaka mingi Serikali imekuwa ikihukumu maisha ya wahitimu wa darasa la saba kimakosa mno.
Ipo hivi...
Watendaji na wasimamizi wa elimu ya msingi wao ndio viongozi wa kuratibu cheating. Hili liko wazi kabisa na NECTA wanalijua.
Walimu wakuu wa shule za msingi hupigwa mikwara na ma RC, RAS, REO, DED, DEO, DAS, WARATIBU WA ELIMU etc. Wafanye vyovyote iwezekanavyo KUWAFAULISHA watoto. Nasisitiza KUWAFAULISHA. Na mbinu zote za kuwafaulisha huratibiwa na Walimu Wakuu na Waratibu wa Elimu katani. Wanafunzi hupokea tu maelekezo. Hawana hatia.
That being said, nawaambia NECTA na namwabia Rais Magufuli. Achieni matokeo ya vijana hao haraka. Hawahusiki.
Wajibisheni mamlaka husika, nimezitaja hapo juu. Vigezo vyote vilivyoandikwa/semwa na NECTA kuwafutia matokeo vijana hao hakuna hata kimoja kilichosababishwa na mwanafunzi. Kumbukeni hawa ni watoto wadogo sana na hufuata orders toka kwa walimu wao.
Ni muda muafaka sasa umefika, kuacha tabia ya kumfurahisha mkuu wenu. Yote haya yanafanyika kumfurahisha MAGUFULI. HII SI SAWA.
Shule zotee za uma hufake/hucheat ili tu kumpemdezesha mkuu wenu.
OMBI.
Rais Magufuli iamuru NECTA itoe matokeo ya vijana hawa 1059. Then deal with your SYSTEM.
Cheating ilikua shule binafsi,sasa ni serikali ya awamu ya tano!
Kama serikali inafanya cheating ya kura,mitihani si ni mboga tu?
Hatuna nchi,tunajidanganya!
Hii awamu ya tano ni majambazi pure,bure kabisa!
Elimu yetu imekua na simanzi siku zote, waruhusu shule kutafuta waalimu kokote duniani sio lazima kutoka hapa TZ, kwani waalimu ni zao la wanafunzi walioanguka mitihani, Waalimu kazi ni kupiga watoto ili wafaulu, lakini wanachofundisha hakieleweki, wanaofundisha hawaelewi wanachokifundisha, hatuwezi kubadilisha sisi wenyewe lazima tutachanganye maarifa yawengine, Inasikitisha sana, anahukumiwa Watoto wasio na makosaNaongea wazi kabisa hapa. Kwa miaka mingi Serikali imekuwa ikihukumu maisha ya wahitimu wa darasa la saba kimakosa mno.
Ipo hivi...
Watendaji na wasimamizi wa elimu ya msingi wao ndio viongozi wa kuratibu cheating. Hili liko wazi kabisa na NECTA wanalijua.
Walimu wakuu wa shule za msingi hupigwa mikwara na ma RC, RAS, REO, DED, DEO, DAS, WARATIBU WA ELIMU etc. Wafanye vyovyote iwezekanavyo KUWAFAULISHA watoto. Nasisitiza KUWAFAULISHA. Na mbinu zote za kuwafaulisha huratibiwa na Walimu Wakuu na Waratibu wa Elimu katani. Wanafunzi hupokea tu maelekezo. Hawana hatia.
That being said, nawaambia NECTA na namwabia Rais Magufuli. Achieni matokeo ya vijana hao haraka. Hawahusiki.
Wajibisheni mamlaka husika, nimezitaja hapo juu. Vigezo vyote vilivyoandikwa/semwa na NECTA kuwafutia matokeo vijana hao hakuna hata kimoja kilichosababishwa na mwanafunzi. Kumbukeni hawa ni watoto wadogo sana na hufuata orders toka kwa walimu wao.
Ni muda muafaka sasa umefika, kuacha tabia ya kumfurahisha mkuu wenu. Yote haya yanafanyika kumfurahisha MAGUFULI. HII SI SAWA.
Shule zotee za uma hufake/hucheat ili tu kumpemdezesha mkuu wenu.
OMBI.
Rais Magufuli iamuru NECTA itoe matokeo ya vijana hawa 1059. Then deal with your SYSTEM.
Na MATOKEO ya uchaguzi yatafutwa??Acha utopolo wewe kijana kwani kufutiwa matokeo imeanza wakati wa Magufuli tu? Pia kama unajua inavyoratibiwa kwanini hukuripoti mapema ili washughulikiwi. Acha sheria ichukue mkondo wake kama ambavyo watz wamekubaliana.