Bangsweezy
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 873
- 193
njia ya muongo ni fupi lazima ukweli utajulikana tu maana haki haipotei bali inacheleweshwa tu
Sheria ya maadili inataka uweke wazi zawadi yoyote unayopewa inayozidi alf 50 kwa viongozi wa umma.
Iwe pesa za umma amma binafsi kuna fomu za kubainisha utazijaza.
Watu wengine hata uwaelimishe vipi wana vichwa vizito sana kuelewa make mpaka leo mtu bado hajaelewa topic moja tu ya Escrow zaidi ya miezi 6? Kaazi kwelikwelh,.
Hapo ndo nakumbuka maneno ya #FaizaFoxy 'Hizo shule wanaenda(ga) kusomea ujinga?'
Hela inayoongelewa mpaka sasa hivi ni hela ya Mkombozi bank ambayo ina maelezo kamili kwamba Rugemalira aliuza share zake kwa SingaSinga the Great, sasa hapa sijui kamati ya maadili inatokea wapi.
La msingi waseme hela ya Stanbic nani alichota na kwa dhumuni lipi?
IPTL hewa now.
Ndugu hii Movie ya Escrow ishachuja haina mvuto tena wala haiuziki kwa wananchi. Ushauri wangu wa bure ni kuwa msubirieni October mfanye uamzi sahihi kama hamjalidhishwa na matokeo ya Escrow kuliko hizi kelele za kijinga zisizokua na tija kwa Taifa. Acheni watu wafanye kazi kwan la Escrow lishakua historia hivyo kulijadili halikuongezei wala kukupunguzia chochote. Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu Muhongo ashafunga huu mjadala. Na kwakuwa yeye ndo alikuwa anawindwa kwenye hili sakata la siasa chafu ndo maana unaona hata mabwana zako wamefyata mkia wala hawana time tena na Escrow toka Muhongo alipobwaga.
Washafanya sherehe, washagonga mvinyo na kutoka out na madem zao kama sehemu ya kuhitimisha furaha yao. Hivyo nao hivi sasa wako busy wanapiga mzigo na ku-make ngawila ili maisha yaendelee.
Hakuna mwenye muda na fedha za Stanbic kwani mlengwa wao washamfanikisha sasa sijui wewe hizi kelele na yowe unataka kuzipiga kwa msaada wa nani... pole sana, dunia unaifikiria isivyokua.
Ilishachuja na haina mvuto, sasa wewe umetokea wapi huku, achana nayo wewe.
Uhuru wa Tanganyika kila mwaka unakumbukwa ndiyo ije kuwa Escrow ya juzi tu?