Serikali msipokaa kibiashara, na sheria zenu za usafirishaji mjue Bandari inakufa sio muda mrefu lazima mbadilike

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
2,507
2,000
Wakuu,

Mkumbuke kuna mataifa mengine yanabandari kama msumbiji, Angola, Afrika Kusini.

Congo ni mteja wetu mkubwa na mteja ni mfalme lakini awamu hii hamko kibiashara na dalili zinajionesha wazi wazi
Mkumbuke Zambia anahitaji kuitumia Angola hii siri tunawapa leo, Congo anataka kuitumia Kenya yaani Bandari ya mombasa ina maana mizigo ya kisangani, Butembo na Goma itapitia Mombasa.

Jaribuni kuwashawishi na kuweka mazingira bora ya kibiashara ili biashara za ndani na nje zishamiri vinginevo mtabaki mnashangaa mapato kushuka siku hadi siku na mtapata kazi kubwa kuwarudisha hao wadau muhimu wa biashara.
 
Pips Man

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,438

hizo bwebwe tu wanatishiaga hivyohivyo kuondoka ila mwisho wa siku wanarudi hapahapa bongo.

Ingawa ni kweli tunatakiwa tupitie upya viwango vya tozo isee ni kubwa sana tozo zetu malipo meeeengiii

TRA mnatuangusha sana, watanzania wanajua biashara vibaya sana ila nyie ndio mnaotuludisha nyuma.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom