Serikali mpya ya jk, itaundwaje?

Makame

JF-Expert Member
Jan 3, 2008
512
0
Dk Shein kaenda kuongoza Serikali ya GNU Zanzibar na nafasi yake Kukamatwa na Dk Bilal.

1. Je Pinda atarudi kwenye PM? Werema Je?
2. Mwangunga, Burian, Bendera, Mahiza, Kamala, Masha, Omar Mzee na vigogo wengine waliokuwa Cabinet; KURA hazikutosha.
3. NEW faces came in; Old faces remaining ndani ya Mjengo.

SWALI.

1. Je Serikali itapungua au itakua ie CABINET STRUCTURE?
2. Female representation itakuwa %age ngapi?

MAONI YENU WADAU.
 
Far star

Senior Member
Nov 3, 2010
139

kaka kwa ccm hilo siotatizo,kama wanaibakura kwa viwango vya kimataifa,hawawezikushindwa kuteuwana na kupeana wizara,especially wanawake.wewe subiri utaona vituko lakini pinda atabakia kuwa pm

OBT

Member
Nov 1, 2010
9
0
dah mi OBELIN NAONA hata kina LOWASA WATAKUWEPO KWENYE CABINET. Wanachakachua tu hao mawaziri.
 
Jun 11, 2008
53
95
Wanajamii, msije mkasahau Wizara ya Miundombinu inayoongozwa na wanafamilia ya Mheshimiwa sana huenda ikabakia vile vile pamoja na ufanisi finyu na uongozi usio na maamuzi ulioshuhuduwa katika kipindi kilichopita. Yasemeka Rais ana mahusiano ya kifamilia na Kawambwa na wakati huo huo ana mahusiano kama hayo na Omari ChamboYasemekana kuna na Mkurugenzi ana mahusiano na Mheshimiwa Rais,bila kumsau dereva wa chambo nae ni mwanafamilia wa Mheshimiwa rais! Kazi kweli kweli hiyo ni Wizara moja, zilizosalia zikoje?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom