mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,666
Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa bunge la bajeti la kwanza la serikali mpya. Nimejifunza yafuatayo:
1) Kila Wizara, kwa kiasi fulani, imependekeza bajeti tekelezi
2) Kamati husika kwa kila Wizara, imechambua hizo bajeti kwa kina na kutoa mapendekezo ya kuboresha.
3) Kambi ta upinzani nayo, kwa kiasi fulani, imeoneshq mapungufu kwenye bajeti pendekezi.
Majumuhisho ni kwamba nimegundua kuna mapungufu katika mawasilisho ya pande zote kama ifuatavyo:
1) Serikali mapya, kupitia Wizara zake haijeitendea haki Serikali iliyopita kwa kutojurejea mazuri na mabaya ya bajeti yake na jinsi Serikali mpya ilivyojipanga kuendeleza mazuri na kurekebisha mabaya.
2) Upinzani umejikita kuilaumu Serikali kwa kushindwa kufikia malengo ya bajeti iliyopita, ikiorodhesha pia, hata maazimio ya bunge la Serikali iliyopita ambayo hayakutekelezwa, pamoja na lawama tele.
Ushauri wangu kwa Serikali mpya ya CCM, ni kuyachukuwa mawazo, lawama na maoni ya kambi ya upinzani kama changamoto na fursa kufikia malengo ya kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati.
AKUTUKANAYE HAKUCHAGULII TUSI LAKINI ANAKUONESHA NJIA