Serikali moja ya Jamhuri na majimbo mawili itamaliza kabisa kero za muungano na malalamiko ya Watanganyika

Wale msiopenda muungano wa nchi tatu. Tunaweza kuwa na majimbo mawili yanayotengeza serikali moja. Jimbo moja la Tanganyika na lingine la Zanzibar. Kila jimbo linakusanya kodi zake na linakuwa na bunge lake kupanga matumizi ya kodi zake.

Tunakuwa na Gavana wa Tanganyika na gavana wa Zanzibar halafu Rais mmoja wa Jamuhuri ambaye lazima achaguliwe kwa 51% ya kura ya za majimbo yote mawili.

Rais wa Jamuhuri atakuwa mkuu wa majeshi ya Ulinzi, Mteuzi wa mabalozi na mawaziri wote ambao lazima wathibitishwe na 51% ya wabunge kutoka majimbo yote mawili ya muungano.

Nafasi za mawaziri zitapatakana baada ya majadiliano ya majimbo yote mawili na Rais wa Jamuhuri.
Wewe una akili sana. Hoja yako ndiyo nitakayoinadi. Una mawazo mazuri sana. Tunakuwa na taifa moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na majimbo mawili. Najua hofu ni kuwa na Rais atakuwa hana mamlaka, ni uongo. Sisi ndiyo watengeneza katiba.

Pia Awe na uwezo wa kuteua majaji ila lazima wathibitishwe na Bunge. Natamani tuwe pia na line inayofanya mihimili ya Dola iwe inatenganishwa, ili kuwe na check and balance. Kuna mambo mengi sana ya kuyafanya kupitia hii model.
 
Wale msiopenda muungano wa nchi tatu. Tunaweza kuwa na majimbo mawili yanayotengeza serikali moja. Jimbo moja la Tanganyika na lingine la Zanzibar. Kila jimbo linakusanya kodi zake na linakuwa na bunge lake kupanga matumizi ya kodi zake.

Tunakuwa na Gavana wa Tanganyika na gavana wa Zanzibar halafu Rais mmoja wa Jamuhuri ambaye lazima achaguliwe kwa 51% ya kura ya za majimbo yote mawili.

Rais wa Jamuhuri atakuwa mkuu wa majeshi ya Ulinzi, Mteuzi wa mabalozi na mawaziri wote ambao lazima wathibitishwe na 51% ya wabunge kutoka majimbo yote mawili ya muungano.

Nafasi za mawaziri zitapatakana baada ya majadiliano ya majimbo yote mawili na Rais wa Jamuhuri.
Imekaa sawa hii..serikali mbili ni wizi mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wale msiopenda muungano wa nchi tatu. Tunaweza kuwa na majimbo mawili yanayotengeza serikali moja. Jimbo moja la Tanganyika na lingine la Zanzibar. Kila jimbo linakusanya kodi zake na linakuwa na bunge lake kupanga matumizi ya kodi zake.

Tunakuwa na Gavana wa Tanganyika na gavana wa Zanzibar halafu Rais mmoja wa Jamuhuri ambaye lazima achaguliwe kwa 51% ya kura ya za majimbo yote mawili.

Rais wa Jamuhuri atakuwa mkuu wa majeshi ya Ulinzi, Mteuzi wa mabalozi na mawaziri wote ambao lazima wathibitishwe na 51% ya wabunge kutoka majimbo yote mawili ya muungano.

Nafasi za mawaziri zitapatakana baada ya majadiliano ya majimbo yote mawili na Rais wa Jamuhuri.
Mara zote suala la MUUNGANO na Idadi ya Serikali Huwa linatibua kukamilika Kwa KATIBA mpya.

Bt Mungu ni Mwema this time around tutakamilisha salama.

Ameeeen.
 
Back
Top Bottom