Serikali mnaziona Magufuli joging Clubs? Je, kukianzishwa Mbowe jogingi club msimu huu kutakuwa na makosa ya Kisheria?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,908
Ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kumeshaanzishwa magufuli jogingis ushahidi Ni channel ten.

Naomba kuuliza taasisi za serikali za kiulinzi na kisheria CHADEMA wakifanya hivyo litakuwa kosa?

CHADEMA wameminywa hawana watetezi sisi wapenda haki tusioegemea upande wowote tunauliza.

CHADEMA wakianzisha evening jogingis watakuwa na makosa?

Superbug.
 
Hawa CCM kwa miaka karibu mitano wanajinadi lakini hawauziki, hivyo, hata wakiendelea kujinadi hakuna wa kuwaaunga mkono zaidi tu ya wale wanaofaidika na uwepo wa CCM na wajinga wachache wasiojua yanayoendelea nchi hii.
 
Hiyo joging utakimbilia wapi? Maana mkikimbilia barabarani CCM watawagonga na magari
 
Haijulikani kwenye udikteta huu watu wanaomba hata kuruhusiwa kupumua.
 
Huyu mtu alipewa nchi kimakosa sana. Rais hauwi vile hata kidogo! Mbaya zaidi hata aibu haoni!
 
Ni vema
Hawa CCM kwa miaka karibu mitano wanajinadi lakini hawauziki, hivyo, hata wakiendelea kujinadi hakuna wa kuwaaunga mkono zaidi tu ya wale wanaofaidika na uwepo wa CCM na wajinga wachache wasiojua yanayoendelea nchi hii.
Ni vema Ma rpc wakajibu haya pia mikoani zianzishwe joging clubs za club huru mfano kukianzishwa mbowe au Tundu lisu marathon waruhusiwe pia maana wote ni watanzania .

Huyu akianzisha magufuli joging club a mwingine apewe kibali Cha tundu Lissu marathon au boss ruge joging club !!!!
 
Back
Top Bottom