Serikali;Mmetudhurumu vyeti vyetu.

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
962
305
*Hatimaye nimetimiza ndoto zangu za kuwa mwanaUchumi*
Japo sijawahi kuhudhuria darasa lolote la mambo ya uchumi na wala sijawahi kupata Semina elekezi kuhusu uchumi Hali ya maisha chini ya Mh.Pombe imenifnya nijirizishe kuwa ht Economics ningefaulu vzuri.
Ushauri wangu:Wananchi wote tutunukiwe shahada zetu baasi!hta namba tumejitahidi kuisoma vizuri

By Mjr
 
Back
Top Bottom