Hivi unajua mikopo imeanza kutolewa lini!!!Inaonekana watu wengi hamjui lolote kihusu mfumo wa elimu. Tangu awamu ya kwanza hadi ya nne, wanafunzi wa Diploma hawana mkopo , elimu haikufa, leo ndo ife?
Eti tangu awamu ya kwanza!!! Kaeni kimya badala ya kuandika msiyoyajua. Mnajidhalilisha.