Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,847
- 1,440
Duh umeeelewa kinachojadiliwa hapa Mkuuu au ndio Mahaba niue hata akili hatuipi nafasi kufikiri kwa kina chakekwa hiyo umefurahi kupotosha!!!? jamii mwenyewe nimesoma DIT na hakuna mkopo tulikuwa tunapewa nachojua mnapewa pesa ya field tu 444000 kila mwaka na mkiwa chuo mnapikiwa chakula ukijiunga na degree ndipo unapewa mkopo mda mwaingine muache porojo.