Serikali mlipe madeni yenu

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
juzi mhe waziri wa mawasiliano alitembelea taasisis za umma pamoja na zile binafsi zinazohusiana na wizara yake. ktk moja ya taasisi TTCL inaoneka serikali imekuwa mzigo kwani inadaiwa na kampuni hiyo kiasi cha tsh bilioni saba na zaidi. na deni hili si la leo ni la muda mrefu, na kila waziri anapoteuliwa hufanya ziara kama hizo na mhe waziri baada ya kukutana na madai hayo aliahidi kulishughulikia haraka suala hilo, uzoefu wangu ahadi kama hizo si mpya sintoshanga hadi muhula wake utakapoisha deni likiwa zaidi ya hapo, na dalili litalipwa lini iwe ni ndoto, HIVI KTK BUNGE TUNASIKIA WIZARA IKIOMA KUIDHINISHIWA PESA KADHA INAKUWAJE HALIPI MADENI YENU...........?
 
Back
Top Bottom