Serikali mkoa wa Kigoma haijalipa Watumishi wa Umma mwezi5

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,401
7,307
Mpaka dakika hii wafanyakazi wa Umma kigoma,Manispaa na wilaya zake hawajapata mishahara na wengi hawajui tatizo ni nini kuna mtumishi nilimpigia Kigoma anasema ameambiwa PP hazijafika na yeye aelewi PP ni nini mi mwenyewe sijui naomba wahasibu watuambie au serikali imekosa FEDHA,hali ni mbaya kwa watumishi wengi wanategemea mishahara kuishi pia ni Haki yao Kikatiba kupewa Ujira wao,watu wa Tamisem kama mpo toeni ufafanuzi Hali ni mbaya.
Angalizo msilete utani katika uzi huu ndugu zetu maisha yamekuwa magumu
Source watumishi mbalimbali Kigoma kutoka wilaya zote.
Mods usiondowe huu UZI
CC-Zitto,Kafurila
Mshahara wa mwezi wa tano,leo tr 5
 
Watu wa Tamisemi ufafanuzi wa hili jambo muhimu sana utawasaidia watanzania wenzetu waliamua kuitumikia serikali na kutoa Huduma
 
poleeni saana ndio maisha bora kwa kila Mtanzania mliyoyategemea kutoka kwa serikali sikivu ya dhaifu
 
Mikoa ambayo haijatumiwa mishahara poleni sana,hii dalili ya Serikali kutokuwa na fedha na zaidi kushindwa kufanya makusanyo ya kutosha.

Serikali kupeleka jeshi hapo DRC,isije kuwa matumizi yale Serikali imetumia fedha nyingi.!!
 
bado hali ni tete kwa jamaa zangu wa kigoma/ujiji bado bila bila,poleni wadau mlokumbwa na hili janga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom