Serikali mkimuachia Erick Kabendera kwa shinikizo la walio nyuma yake, nitaidharau maisha yangu yote. Onyesheni msimamo thabiti

Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali ,ni waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.

CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.

Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.

Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kisha fikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka yanayomkabili

Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.

Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.

Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji
Tatizo lako una uelewa mdogo mno, huwezi kumfananisha Edward Snowden ,Julian Assange na Eric Kabendera.
Edward Snowden siyo mwandishi, ni jasusi wa CIA aliyeikimbia nchi yake na kisha kutoa Siri za nchi.
Julian Assange, ni mmiliki wa mtandao wa wikileaks aliyekuwa akitoa Siri za jeshi la Marekani alizokuwa akipewa na wasaliti.
Sasa Eric Kabendera katoa Siri ipi ya serikali? ni nani asiyejua kuwa Magufuli ni Dikteta hatari Tanzania?
Usilete ushabiki kwa ku expose umbumbumbu.
 
Naona maagizo toka juu sasa yameanza kupata kitanzi...taratatiibu wataelewa.
 
Hulka za kichawi zazidi kujengeka Tz.
Raha ya mchawi ni kuona wengine wanateseka, wanataabika, wanaonewa.
Pole sana, uchawi ndio hufukuza zaidi UPENDO.

Mchawi ni yule anayejijali binafsi na kulisema vibaya taifa kimataifa kwa ujira wa senti.
Wazungu hawafanyi hivyo,ni mbwa koko model ya kabendera na wewe ndio huwa wana mess taifa lao,pathetic
 
Asie jua maana haambiwi maana bali huachwa na upumbavu wake ,wewe ni pumbavu,
Kazi anayoifanya kabendera ni mwanzo tu ,hana tofauti na hao uliowataja,serikali ilichofanya ni kumuwahi
Tatizo lako una uelewa mdogo mno, huwezi kumfananisha Edward Snowden ,Julian Assange na Eric Kabendera.
Edward Snowden siyo mwandishi, ni jasusi wa CIA aliyeikimbia nchi yake na kisha kutoa Siri za nchi.
Julian Assange, ni mmiliki wa mtandao wa wikileaks aliyekuwa akitoa Siri za jeshi la Marekani alizokuwa akipewa na wasaliti.
Sasa Eric Kabendera katoa Siri ipi ya serikali? ni nani asiyejua kuwa Magufuli ni Dikteta hatari Tanzania?
Usilete ushabiki kwa ku expose umbumbumbu.
 
Did they wrote email direct to the USA government?,or they were deeply concerned? by press released only
 
Kashtakiwa kwakutakatisha fedha. Ww unabisha ulikuwepo? Waliomshitaki wanaushahidi. Acha mahakamani ifanye kazi yake. Mahakamani ndipo haki inapopatikana.
Mumbwaa wewe... Yule mwandishi wa habari anatakatisha fedha gani??? Unadhani kutakatisha pesa ni upumbavu eti...kwamba hata kapuku kama wewe unaweza takatisha fedh..
 
Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali ,ni waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.

CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.

Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.

Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kisha fikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka yanayomkabili

Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.

Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.

Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola yetu haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji
Duuh Vipi mkuu Saturday ya tarehe 10 . 08 . 2019 ulipita pale Msamvu
 
Hivi nyie binadamu mnatokea sayari ipi, mbona mnakuwa na roho za kikatili mbona wa Tanzania miaka nenda rudi atujawahi kuwa na roho kama zenu wewe hapo ulipo unafaidika na nini kabendera akiishia gerezani ama nyinyi mapandikizi ya nchi jirani Rwanda.
 
Anapewa dawa ya kutumikia usaliti dhidi ya nchi,taifa kwanza ,si wa kuonea huruma hata kidogo
 
Hivi mnashindwaje basi kumfungulia mashitaka kwa hayo makosa? Kuokoteza visa ni nia ovu ili kumkandamiza na ndiyo ULOZI wenyewe. Kwa kutetea ukatili huu ndio tunazidi kuichimbia HAKI katika nchi hii, KABURI.
Mchawi ni yule anayejijali binafsi na kulisema vibaya taifa kimataifa kwa ujira wa senti.
Wazungu hawafanyi hivyo,ni mbwa koko model ya kabendera na wewe ndio huwa wana mess taifa lao,pathetic
 
Mumbwaa wewe... Yule mwandishi wa habari anatakatisha fedha gani??? Unadhani kutakatisha pesa ni upumbavu eti...kwamba hata kapuku kama wewe unaweza takatisha fedh..
Acha kutokwa povu kwa usilolijua,kwa taarifa tu,katakatisha mara nyingi tu pesa za gazeti la economist na blombeger
 
Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali ,ni waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.

CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.

Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.

Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kisha fikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka yanayomkabili

Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.

Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.

Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola yetu haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji
Kiujumla tatizo letu watanzania ni uelewa/ufahamu mdogo wa masuala mengi.
Mtu akitokea akanunua smartphone anajitokeza kuelezea watu kiasi cha uelewa wake mdogo alichonacho.
Kwa taarifa tu, mataifa makubwa wanatujua vilivyo: kiuchumi, kijamii, na kisiasa. Wakisema jambo wanakuwa na data; hawakurupuki.
Mkiguswa kwenye masuala ya haki za binadamu mnalalama. Tanzania tumetia saini Makubaliano ya Haki za Binadamu. Leo mnaukana.
Si mara ya kwanza kuwabambikia watu kesi
 
Back
Top Bottom