Serikali mkimuachia Erick Kabendera kwa shinikizo la walio nyuma yake, nitaidharau maisha yangu yote. Onyesheni msimamo thabiti

Aachiwe huru mara moja kwani hapo hamna kesi bali uonevu kupitia matumizi mabaya ya madaraka.
Wewe hujaona kesi kwa kuwa umeamua kuwa upande wa mtuhumiwa. Ila waliomtuhumu wameona Kuna kesi ya kujibu ndio maana wakampeleka mahakamani. mahakamani ndio itaamua km anahatia ama sivyo.
 
Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali ,ni waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.

CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.

Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.

Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kisha fikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka yanayomkabili

Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.

Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.

Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji
Tindi kalí lote hili linatunzwa wapi mwilini?
 
Maovu aliyoyafanya Erick Kabendera kwa hili taifa hakutakiwa kuwepo duniani kwa sasa
wewe ni nan hata uwezae kuhukum wenzako na kuwatoa uhai hakika kama mungu wa mbinguni aishivyo mtalipwa hapahapa dunian na vizaz vyenu vyote laana hiz zitawarudia nyinyi wauaji wa mnaotumwa na jiwe
 
Aisee! Unanikumbusha tulipokuwa form IV term ya mwisho jamaa alipokwaruzana na mamlaka za shule na akapangiwa adhabu ya viboko vitano mbele ya shule nzima. Baadhi ya wenzie wakamshauri asikubali aonyeshe msimamo na wengine wakamwambia akubali tu yaishe, yeye akachagua kukataa na kufukuzwa shule!
Haaaa haaaa upande wangu story yako imenikumbusha janaa alipewa adhabu akagoma mbele zetu akiwa na msimamo kuwa ni bora afujuzwe na alipofukuzwa alikutana na wenzetu hatua kadhaa na trank lake akiwa analia
 
Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali ,ni waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.

CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.

Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.

Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kisha fikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka yanayomkabili

Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.

Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.

Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji
Kabendera ni kibaraka wa mabeberu mkuu,wamkamue mpaka watu waogope kuwa vibaraka.Watu tunataka maendeleo halafu wao wanashiririkiana na mabeberu kuturudisha nyuma.Hatutakubali.Na watu wajue kwamba tuko kwenye vita ya kiuchumi,kwa hiyo lazima kutakuwa na collateral damage.
 
Wewe hujaona kesi kwa kuwa umeamua kuwa upande wa mtuhumiwa. Ila waliomtuhumu wameona Kuna kesi ya kujibu ndio maana wakampeleka mahakamani. mahakamani ndio itaamua km anahatia ama sivyo.

Mahakama zinazotii amri toka juu haziwezi kumtendea haki. Hapo kinachoendelea ni uonevu kwa kuuchafua Muhimili wa mahakama ili kukidhi visasi vya watawala.
 
The tallest na Lukindo mnahoja nzito. Busara ya kubalance hoja zenu ndo suluhu yenye maslahi mapana kwa nchi yetu katika hili sakata
 
Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali ,ni waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.

CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.

Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.

Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kisha fikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka yanayomkabili

Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.

Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.

Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji
Stupid aka Mjinga. Natamani kukutukana. Niishie kukwambia
 
Hizi lugha tumezizoea hamjaanza leo kusema hivyo,kushikiliwa ni lazima na makosa yake hayana dhamana ,kama kitisho ni kukata misaada na wakate tu
Nadhani unakumbuka juzijuzi tu issue ya watoto wa kike wanaopata mimba shuleni na mswada wa takwimu. Wababe walitupiga mkwara tukabadili msimamo haraka sana. Hata hili we should handle it with care otherwise tujiandae na maumivu in the near future.
 
Sasa mtoa mada ukitoa MAHABA niue yako na sirikali hii ya kibabe wewe unaona Eric ni sawa kushtakiwa kwa yale makosa???? Mbona unashindwa hata kujiongeza mzee au ndo bhasi bendera fata upepoo...
 
Hao mabeberu mnaowakataza wasiingilie mambo yetu, ndio wale wale walioingilia mambo yetu na kuiokoa Serikali isipinduliwe na wanajeshi mwaka 1964. Lakini pia ndo hao hao tuonatumia pesa zao kwa mtindo wa misaada na mikopo.
 
Haaaa haaaa upande wangu story yako imenikumbusha janaa alipewa adhabu akagoma mbele zetu akiwa na msimamo kuwa ni bora afujuzwe na alipofukuzwa alikutana na wenzetu hatua kadhaa na trank lake akiwa analia
Haya mambo mkuu hayatakagi hasira na kujionyesha, mabeberu wapo sasa weanawaambia China wachunge kupeleka majeshi yao Hong Kong kuzima maandamano. Achana na mabeberu.
 
Sasa mtoa mada ukitoa MAHABA niue yako na sirikali hii ya kibabe wewe unaona Eric ni sawa kushtakiwa kwa yale makosa???? Mbona unashindwa hata kujiongeza mzee au ndo bhasi bendera fata upepoo...
Kashtakiwa kwakutakatisha fedha. Ww unabisha ulikuwepo? Waliomshitaki wanaushahidi. Acha mahakamani ifanye kazi yake. Mahakamani ndipo haki inapopatikana.
 
Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali ,ni waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.

CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.

Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.

Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kisha fikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka yanayomkabili

Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.

Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.

Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji

Nitaendelea kubaki Neutral juu ya Sakata hili la Erick Kabendera nikiwa kama Mzalendo na pia mpenda Demokrasia.
 
Tatizo ni namna haya mashitaka yalivyopatikana!

Mtu kakamatwa kwa tuhuma kuwa si raia!

Alafu unampeleka mahakamani kwa kosa la kutakatisha fedha!

Hii inasababisha "Extenals kuhoji ueledi wetu wa jinsi tunavyo deal na watuhumiwa.

Sio hivyo tu chain inaendelea baada ya mshataka ya kutakatisha fedha na uhujumu uchumi, praise team wamekuja na mashtaka yao ya kutukanwa kwa muheshimiwa.

Sasa kuna haja gani ya kuzunguka mbuyu kiasi hiki. Mimi ningeishauri serikali, ikitaka isiingiliwe na mtu yeyote wangemfungulia mashtaka exactly yanayoendana na wanachomtuhumu nacho. Iwe specific kuwa kabendera anashitakiwa kwa kumchafua JPM. No one can question that
 
Back
Top Bottom