mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,346
- 2,775
Wewe hujaona kesi kwa kuwa umeamua kuwa upande wa mtuhumiwa. Ila waliomtuhumu wameona Kuna kesi ya kujibu ndio maana wakampeleka mahakamani. mahakamani ndio itaamua km anahatia ama sivyo.Aachiwe huru mara moja kwani hapo hamna kesi bali uonevu kupitia matumizi mabaya ya madaraka.