Serikali: Mahakama ya ufisadi itaanza kazi mwezi Julai

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Waziri wa Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki amesema Mahakama itakayopambana na Ufisadi inatarajiwa kuanza kazi mwezi Julai mwaka huu, huku akitoa wito kwa wananchi kutoa ushirikiano kwa TAKUKURU.

Aliyaoongea hayo akiwa anazindua huduma ya 'longa nasi'.

Msikilize zaidi hapa...
 
Nina wasi wasi Mkubwa san na hii mahakama asee!! HV tutegemee Nani atapandishwa huko? ikiwa tunaowajua wamefisadi nchi hii ndo kwanza wanapewa uongozi ktk bunge letu na serikali imekaa kimya,Nani atapelekwa huko? tulisema mda unaongea.wenye macho matatu saiv wanajua kinachoendelea,na Khs hii mahakama muda utaongea zaid.tusubiri
 
Mama Kairuki, mahakama za sasa zimeshindwa nini? Au ni mahakama ya kuonea watu/ au itatumia sheria tofauti na za sasa? Mnavyoshinikiza mahakama hiyo , hakika haki haitatendeka!
Mkuu tulia wala usiweweseke,kama unahusika utakutwa tu mbona unaanza kujihami mapema? Tulia sindano itakuingia tu,mmetutesa sana nyie mafisadi na mnaotoka familia za kifisadi.
 
Hapa Lowasa lazima atiwe nyavuni mtaniambia wadau analo tena mchana kweupe.
Kumbe na wewe hamna kitu kabisa, yaani unaleta ushabiki mpaka kwenye hili. Ushaambiwa mwekit kule mjengon ndo don wa ufisadi.... We bado unakomaa na edo. Edo ashasema mwenye ushaidi aende mahakamani.... Mpaka leo kimyaaah
 
Chadema mbona mnaanza kuogopa kusikia mahakama ya ufisadi imekaribia? Si uwa mnasema kama ni fisadi mbona hapelekwi mahakamani? Sasa mtulie kimyaaa.
 
Naomba lowasa awe wa kwanza mfikisha kwenye mahkama iyo. Mkiweza iyo bac Kura yangu 2020 mtapata mkishindwa tunaomba tusisikie mkipiga propaganda kwenye majukwaa kipind cha kampain et lowasa gisad.
 
Mama Kairuki, mahakama za sasa zimeshindwa nini? Au ni mahakama ya kuonea watu/ au itatumia sheria tofauti na za sasa? Mnavyoshinikiza mahakama hiyo , hakika haki haitatendeka!
Hiyo mahakama ianze na wale walionunua kivuko cha mwaka 1978 kwa bilion 8 , kisha iende Wizara ya Ujenzi kuwashitaki wale waliolipa makandarasi hewa billion 252, mabehewa feki, ufisadi pesa za NIDA, NSSF, ATC,TTCL, Chenji ya Rada, Chenji ya Bunge la katiba, ufisadi bomba la Gesi, mikataba ya madini, hata zile bilion 1.7 za ccm zilizopigwa na January Makamba ikiwemo ile dola million 1 aliyumtapeli mtaliano, Chenji pesa za kampeni zilizotolewa na na China kwa ccm
 
Mama Kairuki, mahakama za sasa zimeshindwa nini? Au ni mahakama ya kuonea watu/ au itatumia sheria tofauti na za sasa? Mnavyoshinikiza mahakama hiyo , hakika haki haitatendeka!
Mkuu tulia huu mchezo hauitaji hasira!

Serikali ya Magufuli imeamua kuongeza ufanisi kwenye idara ya mahakama.. Hii mahakama ni kama mahakama ya biashara mahakama ya kazi mahakama ya ardhi.. Mtulie hii ni mahakama kwa ajili ya majizi ipo paleee opposite na jengo la wizara ya ardhi.
 
Mama Kairuki, mahakama za sasa zimeshindwa nini? Au ni mahakama ya kuonea watu/ au itatumia sheria tofauti na za sasa? Mnavyoshinikiza mahakama hiyo , hakika haki haitatendeka!
Mahakama za sasa CCM wamedhihaki ina maana wanaleta picha kuwa mahakama zilizopo hazitoi haki.
 
Naona kambi flani washaanza kuandaa mazingira ya kuamimisha watu kwamba kuna watu wataonewa katika mahakama hiyo

Sheria itafata mkondo tu hakuna mtu atasalimika hapo Math 24:14
 
Back
Top Bottom