Serikali legelege inategemea..polisi na mabomu ya machozi

meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
434
125
Kinachotendeka sasa hivi Mbeya, Dar na Arusha ni matokeo ya kuwa na serikali legelege na viongozi wasiomakini! Viongozi wetu wameingia madarakani kwa nguvu ya rushwa, kuiba kura/kuchakachua kura na kutegemea waganga matokeo yake wameshindwa kuyapa majibu sahihi matatizo ya wananchi badala yake wanatumia mbwa wao (mapolisi) ilikugandamiza wananchi na iliwatawale!

Napenda wajue; mabadiliko ya kijamii na kiuchumi hayajibiwi kwa mabomu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom