Serikali lege lege ikoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali lege lege ikoje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inanambo, Jul 14, 2011.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Nilisikia wabunge wakilumbana bungeni. Kuwa serikali lege lege sikujua mwanzo ila mwongozo wa spika ulimtaka mchangia hoja athibitishe usemi wake mara mzee sita akaanza kuwapaka wapinzani na kuwakebehi kuwa watabaki kupinga tuu na kubeza mema ya serikali. Hivi wanajamii serikali yetu inasema iko imara na makini? Jaribuni tu kupita manzese wamachinga wanauzia bidhaa zao barabarani na kuongeza tabu ya foleni serikali iko wapi watu hawa wamerudi tena pale kandoro alipowatoa kwa nia nzuri tu ya kuwaonyesha wanakostahili kufanya biashara? Nenda shule ya kata ya turiani pale magomeni imezungukwa na gereji ambayo inagonga vyuma na mabati ya magari watoto wetu wakiwa darasani wakihitaji utulivu ili waweze kufuatilia masomo. Kelele ni kubwa na sidhani kama hawa watoto wanasoma kwa utulivu. Huo sio ulege lege wa serikali? Nenda posta asubuhi maandazi, samaki, chapati chai zinauzwa katikati ya kituo cha mabasi ya ubungo na mwenge yaani city center serikali ipo imenyamaza huo sio ulege lege? Kama serikali inashindwa kusimamia sheria ndogo tu siyo legelege? Pse naomba mwongozo wa spika pse!
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  si ndo maana legelege!!
   
 3. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Iko kama ya ccm!
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  Hii iliyopo madarakni
   
Loading...