Serikali Kwanini Wasizifungie hizi Online Media? Zimekuwa nyingi wana content za Kijinga/ Maswali wanayouliza ni ya Kijinga

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Hizi online Media bora Serikali Wazifungie kwasababu kumekuwa na Online Media kibao ambazo zinachochea upumbavu na Ujinga, Online Media zimejaaa content za Kijinga zisizokuwa na maana yeyote

Ni Bora zibaki Media 4 ila zinatoa content za maana na kuna watangazaji waliosomea utangazaji sio hawa viropo ropo wa Online Media

Online Media zifungwe hazina Maana yeyote kwa Jamii na hazichangii maendeleo yeyote zaidi ya kuaribu na kuchonganisha watu

Serikali tunaomba Mliangalie hili hizi Online Media ni Useless Kabisa hazina maana yeyote zipo kwaajili ya kuchochochea Ujinga tuu

#Abolishing Online Media
 
Kwani wanakulazimisha kuangalia content zao?
Ukiona mtu ana content flani ambazo we unaziona za hovyo ujue kwamba we sio target audience.
 
natoa mfano....

unakuta wanamuhoji alikiba ila wanamuuliza ya hamonize huku wakijua msanii huyo lbda hawaelewi na mwenzake

nanukuu "" Alikiba Unaonaje nyimbo mpya ya hamonize?"" au "" alikiba unazungumziaje gari mpya ya diamond "" mwisho wa kunukuu..

yani hivi huwez uliza maswali mengine zaidi ya kutafuta ugomvi na kuuchochea na content za kijinga , with continous stupid unreasonable question.

online media nyingi zinachonganisha ili wapate stori na vicamera vyao halafu wapate hela za kujikimu.

bullshit.
 
Kisauti wetu Sarah wa East Africa Media ubuyu wake wote si matango pori ni ubuyu original.

Fatuma wa Bora media lazima ubuyu wake uwe na reference ya Mange Kimambi.
 
Yaani walivyosikia utube inalipa ukiwa na scriber wengi basi wakaona maisha si ndiyo haya
Wakaanza kuinvest kwenye onlineTv ili wapate vidolari
 
natoa mfano....

unakuta wanamuhoji alikiba ila wanamuuliza ya hamonize huku wakijua msanii huyo lbda hawaelewi na mwenzake

nanukuu "" Alikiba Unaonaje nyimbo mpya ya hamonize?"" au "" alikiba unazungumziaje gari mpya ya diamond "" mwisho wa kunukuu..

yani hivi huwez uliza maswali mengine zaidi ya kutafuta ugomvi na kuuchochea na content za kijinga , with continous stupid unreasonable question.

online media nyingi zinachonganisha ili wapate stori na vicamera vyao halafu wapate hela za kujikimu.

bullshit.

Hazina maana yeyote
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom