Serikali kwa wastani inaajiri watu wangapi kwa mwaka?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,554
44,724
Hata kama Serikali haiwezi kuajiri vijana wake ila sio kihivyo aisee maana kila nikiingia Ajira Portal nakuta nafasi sifuri au moja. Sasa sijajua Ina maana huko maofisini watu hawafi au hawastaafu? Inasikitisha kwa kweli hata kuajiri wahitimu 100 tu kila mwezi nako ni changamoto?

Screenshot_20210603-064639.jpg
 
Nafikiri ukifika mwaka wa bajeti kiserikali vibali vya ajira vitatolewa na nafasi za ajira zitakuwa nyingi.

Hizi nafasi zinazotoka hapa katikati ni vibali vidogo vya kuziba nafasi
 
Back
Top Bottom