Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

Tahadhari kwa wasomaji:

Hii ni bandiko kwa ajiri ya kujifunza tu ( Educational purpose)
Haililengi kukufundisha wewe uvunje sheria zilizowekwa

Kwa kuwa sijui kwa mda gani hili bandiko litakuwepo,nitaelezea kwa ufupi

Kwahio kuna hii tovuti ambayo kwa sababu nzuri tu kwenye nchi unayoishi imezuiliwa?

Ila kwa ujeuri wako unataka kui 'access'?
Au kuna tovuti kwa ajiri ya 'free books' lakini eneo ulipo imezuiliwa?
Na hutaki kutumia VPN kwa sababu unaona ni usumbufu?

Hii ni simple solution......

Proxy server
Nadhani wengi mnafahamu kuhusu VPN?, na pia wachache mnafahamu kuhusu Proxy servers?
Kwa wasio fahamu,au wanaozitumia bila kufahamu

Tofatuti zao ni hii

Simu au Laptop yako ina jina la kipekee linalojulikana kama 'IP Adress', tofauti na majina ya kawaida,lenyewe ni namba

Mfano 172.67.6.221
Kwa kutumia hii namba tunaweza jua nchi unayoishia au mahala ulipo, So tunapotaka kuzuia wakazi wa nchi fulani wasitumie baadhi ya tovuti,tunachofanya ni ku hakikisha Devices zote zenye IP Addresses ya nchi husika. Haziwezi kuzungumza na 'servers' zinazo 'host' tovuti husika

Kukwepa hiki kifungo, unaweza kutumia VPN
VPN inachofanya ni kuficha IP Address yako,na kukuruhusu utumie IP Address ya device nyingine ambayo haipo kwenye nchi yako

Proxy server inafanya kitu hicho hicho,pia inaficha IP Address yako

Tofauti ya Proxy servers na VPN ni kwamba,VPN ukiacha kificha IP Address yako pia ina 'encrypt' traffic yako,so hakuna yoyote atakayejua ni tovuti ipi ume access
au kipi umeperuzi...

Proxy servers zina ficha tu IP Address yako.....so tunaweza jua tovuti ipi umeperuzi
Njia nzuri ya ku access banned sites ni kutumia VPN

Ila kama hutaki usumbufu wa VPN,au hutaki kupakua App yoyote ile kwenye simu yako,then proxy server ni option nzuri

Hii ni proxy server ninayo recommend japo zipi nyingi


Bofya hapa

Then type url ya tovuti unayotaka ku peruzi
Mfano tovutifulani . com
Umetisha kinomanoma mwamba....
 
Back
Top Bottom