Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,079
- 8,219
- Thread starter
- #21
Ungeyaweka kwa namba ingekuwa rahisi kucomment chief, maana kuna mengine mazuri ila mengine hayawezekani kabisaTunataka katiba ibadilishwe kabla hatujabadili chama tawala maana bila hivyo watapoingia na wao wataweka ngumu ya kutoka huku wakitugalagaza zaidi ya CCM. Mfano halisi ni mwenyekiti wao ambaye hataki kung’atuka kwenye nafasi hio miaka nenda rudi.
I would suggest under new constitution:
-Raisi asiwe mwenyekiti wa chama kuepusha kujikita na interest za chama kuliko taifa na kuvua watu uanachama kwa kukomoa.
-Budget ya bunge isitegemee serikali.
-baraza la mawaziri litoke kwa wananchi.
-wabunge kwa wananchi.
-Tume ya uchaguzi isiwe appointed na rais.
-Watoto wa wastaafu wawe banned kushika nafasi influential za serikalini kama urais, uwaziri atleast waishie kwenye ubalozi labda na hii si kwa ubaya bali kwa manufaa ya umma. Kwa kampuni binafsi wako free kuwa hata wakurugenzi.
-Ajira za serikalini ziwe za mkataba wa 3-5 years huku maslahi yakiboreshwa ili watu wakipata uzoefu warudi kujiajiri. Mikataba iwe extended kulingana na utendaji kama mtu ana perform aongezewe muda.
-Raisi aweze kufunguliwa mashtaka na wananchi direct bila approval ya DPP.