Serikali kuurudisha Mgodi wa Kiwira mikononi mwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali kuurudisha Mgodi wa Kiwira mikononi mwake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by holypotato, Mar 20, 2011.

 1. h

  holypotato Senior Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama nakumbuka vizuri waziri alishasema tena akiwa bungeni kuwa mgodi umesharudishwa serikalini, ila kwa kauli za sasa mchakato wa kuurudisha ndio unaanza sasa. Maana yake tuliingizwa chaka sijui ni ili kumsafisha mzee??? au waziri alipitiwa tuu......
  nini adhabu ya waziri anapothibitika kuwa alilipotosha bunge??:gossip:

  source: Serikali kuurudisha Mgodi wa Kiwira mikononi mwake
   
 2. k

  kayumba JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Utaombwa ushaidi wa maandishi kwa kumsingizia waziri, omba spika asione post yako!
   
 3. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wewe bado uanamini kauli za mawaziri wa JK. Kuanzia kwa JK na waziri mkuu ni uwongo kwa kwenda mbele. usihangaike kujua kama waziri alidanganya kwani kama rais na waziri mkuu wanadanganya waziri wa kawaida akidanganya wala hakupaswi kukushtua.
   
Loading...