Serikali kutunga sheria kupiga marufuku wasichana wa kazi chini ya miaka 18

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
Serikali imekusudia kutunga sheria ya kupiga marufuku ajira za wasichana wa kazi wenye umri chini ya miaka 18 kabla ya mwisho wa mwaka 2016.

Hatua hiyo inaelezwa inakusudia kuinua hadhi ya kazi na ajira za wasichana wa kazi nchini, kwani muda wa kurasimisha ajira hizo umefikia wakati wake.

Hayo yamebainishwa leo mjini hapa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu wakati akizungumzia na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika inayoadhimishwa tarehe 16 Juni kila mwaka.

alisema hatua inachuliiwa na Serikali kutokana na wasichana wengi wa ndani kutumikishwa kazi hiyo katika umri mdogo na kulipwa ujira mdogo.

“Tumepanga kutunga kanuni na sheria ya kupiga marufuku ajira za wasichana wa kazi wenye umri chini ya miaka 18, na ndio maana tunawachukua katika umri mdogo sana na kuwalipa ujira mdogo, hivyo ukimchukua binti wa miaka 18 utaweza kuinua hadhi ya kazi ya kazi yenyewe” alisema Waziri Ummy.

Akizungumzia kuhusu maadhimisho hayo, Waziri Ummy aliitaka jamii kukataa kurubuniwa kwa pesa na katika kuwavichua watu wanaofanya vitendo vya ukatili kwa watoto ikiwemo kulawiti na kuwabaka na badala yake watoe taarifa katika vyombo vya dola ili adhabu kali zichuliwe dhidi yao.

Aidha Waziri Ummy aliwata wazazi nchini kujenga tabia ya kukagua maumbile ya watoto wao hususani watoto wa kike ikiwemo kuwaogesha angalau mara moja kwa mwezi, kwani kwa kufanya hivyo kutamwezesha mzazi kufahamu afya ya kimwili ya motto wake.

Kwa mujibu wa Waziri huyo alisema vitendo vya ulawiti havifanywi kwa watoto wa kike pekee bali na watoto wa kiume pia wamekuwa wahanga wa vitendo hivyo, ambapo ameitaka jamii kutowaamini ndugu au jamaa zao kulala kitanda chumba kimoja na watoto wao.

“Kwa mujibu wa taarifa za jeshi la Polisi, vitendo hivi vimekuwa vikifanyika zaidi majumbani kwa asilimia 49, asilimia 23 wakati wa kurudi na kwenda shule na asilimia 15 wakiwa shuleni, hivyo kwa takwimu hizi unaweza kuona ukubwa wa tatizo ulivyo” alisema Waziri Ummy.

Chanzo: Michuzi
 
kwahiyo ni wasichana tu wavulana wao ni sawa hata kama anamiaka 7 afanyishwe kazi za kuuza na kutembeza barafu, karanga, kahawa, mayai na vitumbua mitaani au kukata majani ya kulisha ng'ombe au huko migodini? sijaelewa hapa.

Labda ungesema kwamba serikali imekusudia kutunga sheria ya kupiga marufuku ajira yoyote kwa watu wote waliochini ya umri wa miaka 18 iwe majumba au shambani.
 
kwahiyo ni wasichana tu wavulana wao ni sawa hata kama anamika 7 afanyishwe kazi za kuuza
na kutembeza barafu, karanga, kahawa, mayai
na vitumbua mitaani au kukata majani ya kulisha ng'ombe au huko migodini? sijaelewa hapa. Labda ungesema kwamba serikali imekusudia kutunga sheria ya kupiga marufuku ajira yoyete kwa watu wote waliochina ya umri wa miaka 18 iwe majumba au shambani.
Uanaume kazi
 
hilo likitekelezwa means mijitu itakuwa na wake wawili by deafault ndani, stay tuned
 
Mmh, sasa house girl mwenye zaidi ya miaka 18 si ni sawa na mke mwenza? Raha ya house girl umpate mwenye umri mdogo unamlea kama mwanao. By the time ameshakuwa mtu mzima, unamrelease na mtaji wake akaanze maisha yake au akaolewe...
 
Unamfanyia send off
 
Hili litakuwa na ugumu sana,wakiwa na zaidi ya miaka 18 lengo lao linakuwa zaidi ya kufanya kazi,anaanza na kufikiria kupata na mume wa kumuoa na definitely target inakuwa ni baba mwenye nyumba,ukichukulia kuwa ameshakuwa na hisia/hamu ya tendo na mwanaume wa karibu ni baba na kama ujuavyo wanakuwa hawana muda wa kutoka mara kwa mara zaidi ya kutumia muda wao mwingi kuwa nyumbani,hilo kwa kweli litasababisha ndoa nyingi kuwa mashakani.
 
Mmh, sasa house girl mwenye zaidi ya miaka 18 si ni sawa na mke mwenza? Raha ya house girl umpate mwenye umri mdogo unamlea kama mwanao. By the time ameshakuwa mtu mzima, unamrelease na mtaji wake akaanze maisha yake au akaolewe...

Mtajii??? wakati salary yenyewe ni buku kumi tu ikizidi sana 25-30 wakati mtoto wa watu anaamshwa saa 11 alfajiri na anafanya hadi 3:30 mpaka saa 4:00 usiku ndo anapumzika huku mzigo wa malofu umenyong'esha roho yake, kila kitu yeye ndoanafanya yaan hata kama kwenye hiyo familia kunajisichana lakin haousegirl ndo kaachiwa kila kitu huku vyenyewe viko busy na whataspp na fb,
Mmh, sasa house girl mwenye zaidi ya miaka 18 si ni sawa na mke mwenza? Raha ya house girl umpate mwenye umri mdogo unamlea kama mwanao. By the time ameshakuwa mtu mzima, unamrelease na mtaji wake akaanze maisha yake au akaolewe...
 
Take home ya mfanyakazi wa serikali wengi ni chini ya laki 3 kwa mwezi halafu ndo aajiri above 18 halafu amlipe kima cha chini hayo maisha yatawezekana kweli.

Halafu wakina mama wengi wanapenda wasichana wadogo ili kuwalea na kuwafundisha kazi mara nyingi wasichana wanamna hiyo wanakuwa na uelewa mkubwa tofauti na mazingira waliyokuwa, shule zenyewe sk hizi hazina sayansi kimu, ila wapo akina mama baadhi wanaowatesa wasichana hao jamii iwadhibiti.

Maisha ya kuajiri wasichana wanaozidi miaka 18 wanataka wanaume waishi kama mfalme Sulemani aliyezaa na vijakazi 300!
 
Itasaidia sana sheria hiyo. Waajiri wengi wanapenda Cheap labour, na ndo sababu kubwa ya kuchukua watoto, ili waweze pia kuwanyanyasa kiurahisi. Sheria hiyo iendane na marekebisho ya Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini inayomruhusu mtoto wa miaka 15 hadi 17 kuajiriwa, na sheria ya mtoto pia!
 
Serikali imekusudia kutunga sheria ya kupiga marufuku ajira za wasichana wa kazi wenye umri chini ya miaka 18 kabla ya mwisho wa mwaka 2016.

Hatua hiyo inaelezwa inakusudia kuinua hadhi ya kazi na ajira za wasichana wa kazi nchini, kwani muda wa kurasimisha ajira hizo umefikia wakati wake.

Hayo yamebainishwa leo mjini hapa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu wakati akizungumzia na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika inayoadhimishwa tarehe 16 Juni kila mwaka.

alisema hatua inachuliiwa na Serikali kutokana na wasichana wengi wa ndani kutumikishwa kazi hiyo katika umri mdogo na kulipwa ujira mdogo.

“Tumepanga kutunga kanuni na sheria ya kupiga marufuku ajira za wasichana wa kazi wenye umri chini ya miaka 18, na ndio maana tunawachukua katika umri mdogo sana na kuwalipa ujira mdogo, hivyo ukimchukua binti wa miaka 18 utaweza kuinua hadhi ya kazi ya kazi yenyewe” alisema Waziri Ummy.

Akizungumzia kuhusu maadhimisho hayo, Waziri Ummy aliitaka jamii kukataa kurubuniwa kwa pesa na katika kuwavichua watu wanaofanya vitendo vya ukatili kwa watoto ikiwemo kulawiti na kuwabaka na badala yake watoe taarifa katika vyombo vya dola ili adhabu kali zichuliwe dhidi yao.

Aidha Waziri Ummy aliwata wazazi nchini kujenga tabia ya kukagua maumbile ya watoto wao hususani watoto wa kike ikiwemo kuwaogesha angalau mara moja kwa mwezi, kwani kwa kufanya hivyo kutamwezesha mzazi kufahamu afya ya kimwili ya motto wake.

Kwa mujibu wa Waziri huyo alisema vitendo vya ulawiti havifanywi kwa watoto wa kike pekee bali na watoto wa kiume pia wamekuwa wahanga wa vitendo hivyo, ambapo ameitaka jamii kutowaamini ndugu au jamaa zao kulala kitanda chumba kimoja na watoto wao.

“Kwa mujibu wa taarifa za jeshi la Polisi, vitendo hivi vimekuwa vikifanyika zaidi majumbani kwa asilimia 49, asilimia 23 wakati wa kurudi na kwenda shule na asilimia 15 wakiwa shuleni, hivyo kwa takwimu hizi unaweza kuona ukubwa wa tatizo ulivyo” alisema Waziri Ummy.

Chanzo: Michuzi
Wakati inatunga sheria hizo, itunge na sheria za kiwalea waliopo chini ya miaka 18 wanaoishi kwenye mazingira duni. Ni bora mtoto afanye biashara kuliko kufa njaa. Mnasema wakasome, elimu zenyewe za kusoma ziko wapi na wakisoma mtawapeleka wapi? Kama wasomi waliopo tu mmeshindwa kuwaajiri wapo tu mitaani
 
kwahiyo ni wasichana tu wavulana wao ni sawa hata kama anamiaka 7 afanyishwe kazi za kuuza na kutembeza barafu, karanga, kahawa, mayai na vitumbua mitaani au kukata majani ya kulisha ng'ombe au huko migodini? sijaelewa hapa. Labda ungesema kwamba serikali imekusudia kutunga sheria ya kupiga marufuku ajira yoyote kwa watu wote waliochini ya umri wa miaka 18 iwe majumba au shambani.

kuna mambo mengi yamekuwa yakifanywa kibaguzi hususan kwa watoto wa kiume, wamekuwa wakitazamwa kama wanaume na siyo watoto hili ni tatizo hapo wanalenga kuzuia ajira za utotoni kwa watoto lakini wamesisitiza kwa watoto wa kike tu sasa sijui wa kiume siyo watoto?

kama wanatunga sheria ya kuzuia ajira za utotoni wahakikishe wanagusa makundi yote kwa sababu kuna watoto wa kiume wamekuwa wakitumikishwa hata kwenye kazi za majumbani kama ulizozitaja hapo.
 
Mfumo jike, watoto wa kiume wao wanaruhusiwa kufanya kazi chini ya umri huo?
 
Serikali imekusudia kutunga sheria ya kupiga marufuku ajira za wasichana wa kazi wenye umri chini ya miaka 18 kabla ya mwisho wa mwaka 2016.

Hatua hiyo inaelezwa inakusudia kuinua hadhi ya kazi na ajira za wasichana wa kazi nchini, kwani muda wa kurasimisha ajira hizo umefikia wakati wake.

Hayo yamebainishwa leo mjini hapa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu wakati akizungumzia na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika inayoadhimishwa tarehe 16 Juni kila mwaka.

alisema hatua inachuliiwa na Serikali kutokana na wasichana wengi wa ndani kutumikishwa kazi hiyo katika umri mdogo na kulipwa ujira mdogo.

“Tumepanga kutunga kanuni na sheria ya kupiga marufuku ajira za wasichana wa kazi wenye umri chini ya miaka 18, na ndio maana tunawachukua katika umri mdogo sana na kuwalipa ujira mdogo, hivyo ukimchukua binti wa miaka 18 utaweza kuinua hadhi ya kazi ya kazi yenyewe” alisema Waziri Ummy.

Akizungumzia kuhusu maadhimisho hayo, Waziri Ummy aliitaka jamii kukataa kurubuniwa kwa pesa na katika kuwavichua watu wanaofanya vitendo vya ukatili kwa watoto ikiwemo kulawiti na kuwabaka na badala yake watoe taarifa katika vyombo vya dola ili adhabu kali zichuliwe dhidi yao.

Aidha Waziri Ummy aliwata wazazi nchini kujenga tabia ya kukagua maumbile ya watoto wao hususani watoto wa kike ikiwemo kuwaogesha angalau mara moja kwa mwezi, kwani kwa kufanya hivyo kutamwezesha mzazi kufahamu afya ya kimwili ya motto wake.

Kwa mujibu wa Waziri huyo alisema vitendo vya ulawiti havifanywi kwa watoto wa kike pekee bali na watoto wa kiume pia wamekuwa wahanga wa vitendo hivyo, ambapo ameitaka jamii kutowaamini ndugu au jamaa zao kulala kitanda chumba kimoja na watoto wao.

“Kwa mujibu wa taarifa za jeshi la Polisi, vitendo hivi vimekuwa vikifanyika zaidi majumbani kwa asilimia 49, asilimia 23 wakati wa kurudi na kwenda shule na asilimia 15 wakiwa shuleni, hivyo kwa takwimu hizi unaweza kuona ukubwa wa tatizo ulivyo” alisema Waziri Ummy.

Chanzo: Michuzi
Hivi hii serikali mbona wanatuchosha na hayo matamko?juzijuzi wamesema wanapambana na kuwaondoa kina dada wanao jiuza hapa dsm lkn leo hii ndio wamezidi kujimwaga kila kona ya jiji
 
Back
Top Bottom