Serikali kutumia mauji ya kibiti kama excuse!

kidole007

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
3,094
1,873
Wana JF
Napatwa na ukakasi sana na hizi kauli za viongozi wa serikali kutumia mauaji ya kibiti kama kizuizi cha watu wanaotaka shambulio la Lissu lichunguzwe na vyombo vya nje

Swali kuu nnalojiuliza
1. Mauji ya kibiti yana mahusiano gani na tukio la Lissu?
 
Back
Top Bottom