Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,944
- 703
Nimepitia several news na kukutana na mojawapo ikionyesha CCM ikitoa vibali vya uchimbaji wa madini kupitia SISIEMU. Wadau, hii imekaaje? Ina maana ofisa madini wa wilaya, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa wanafanya kazi gani? Kinana anatoa hizi leseni za serikali kama nani serikalini? Au huku ndiko kuanza kujisakafia??
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi leseni za wachimbaji wadogo machimbo ya Mugusu, Geita, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mkoani Geita. Jumla ya leseni 21 zilikabidhiwa kwa wachimbaji hao baada ya kutolewa na serikali ili kuwwezesha wachimbaji wadogo nao kunufaika na m,adini badala ya wachimbaji wakubwa tu.