Serikali kutoa elimu ya fedha kwa wananchi

Michael Chairman

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
922
583
hayo yamesemwa leo na Naibu waziri wa wizara ya Fedha na Mipango Dr Ashatu kijaji wakati akijibu swali la mbuge wa viti maalumu Mh Anna lupembe aliyetaka kufahamu serikali ina mpango gani wa kupeleka huduma za kibenki vijijini ili na wakazi huko waweze kupata huduma za mikopo kutoka kwenye mabenki akijibu swali Mh, naibu waziri alisema kuwa serikali ipo tayari kutoa elimu ya fedha kwa wanainchi hasa akina mama ili waweze kujikwamua kutokana na mikopo ya taasisi za kibenki.
my take ,jambo hili limechelewa sana kuanza kutolewa na ninashauri serikali iliwekee kipaumbele jambo hili.
 
Back
Top Bottom