Serikali kusitisha Zoezi la kukusanya mihuri,Wenyeviti serikali za mitaa

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,895
13,454
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Serikali yasitisha agizo la kuwataka wenyeviti wa serikali za mitaa nchi nzima kurudisha Mihuri kwa maafisa watendaji mpaka pale utaratibu mzuri utakapo tolewa.

Source:ITV
 
Yaani kila wakati ni kukurupuka tu. Tukisema mna "ropaka" mnadai eti ni wachonganishi... Mnakera sio mchezo
 
Wenyeviti wa mitaa wanajielewa sana, bila kujali itikadi za vyama vyao waliamua kutetea heshima yao. Katibu mkuu mropokaji ajiuzulu haraka iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom