Serikali kupokea Tsh Bilioni 100 kutoka Barrick, sehemu ya Bilioni 700 ya kishika uchumba

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Serikali inatarajiwa kupokea Dollar million 40 au shilingi Billioni 100 kutoka kampuni ya Barrick ikiwa ni sehemu ya kishika uchumba cha Dollar Millioni 300 ambayo Barrick iliahidi kuipa serikali ili kumaliza mgogoro wa madini.

 
Back
Top Bottom