Serikali kupitia wakuu wa mikoa wapiga marufuku mikusanyiko. Vipi Makamu wa Rais na ziara yake Mtwara?

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,803
8,793
Sasa hivi ni matamko tu ya wakuu wa Mikoa kupinga mikusanyiko ya watu.

Nimeshangazwa na taarifa kuwa Dkt. Mpango ana mpango wa kufanya ziara ya kiserikali Mtwara.

Swali: Je, huko anaenda kuhutubia miti ya mikorosho ama anaenda kuhutumbia mkusanyiko wa watu. Delta namba 3 ipo.
 
Back
Top Bottom