Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,428
- 37,641
Wewe ndu huelewi lakini unajiona unaelewa sana. Mleta mada yuko sahihi, posho za chakula/vinywaji haziruhusiwi kukopewa Benki na mwajiri hatapitisha mkopo huo. Hakuna mkopo unatolewa na benki kwa mtumishi bila kuidhinishwa na Mwajiri hivyo kusema mkopo ni wa pande 2 pekee siyo sahihi.Mleta mada hujielewi kabisa mkopo Ni Kati ya mkopaji na mkopeshaji tu hakuna mtu wa tatu
Mwajiri au Benki kuu hawawezi kuingilia hiyo process
Kwa ulivyoandika unaonyesha umelenewa na madeni pesa unapeleka wapi? Unafanyia Nini Cha maana?