Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 49,679
- 39,004
Wanaukumbi.
Tunaiomba ya WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO, kupitia kwa Waziri wake NAPE MOSES.
Tunamuomba aongee na mmiliki wa club ya Newcastle UTD ya Uingereza ambaye ni Mtanzania mwenzetu aweze kuandaa project ya kupeleka vijana wadogo huko Uingereza wakajifunze soka la kimataifa.
Kama tulivyojuzwa na gazeti letu makini la DIRA club ya Newcastle ni ya Mtanzania mwenzetu hiyo ni fursa kubwa kwetu kuendeleza vipaji vya vijana wetu wa Kitanzania.
Tunaomba tushirikiane na wadau wengine wapenda michezo kufanikisha hili.