johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,735
- 141,598
Naibu waziri wa mambo ya ndani mh Masauni amesema serikali iko katika hatua za mwisho za kurekebisha sheria ya usalama barabarani.
Marekebisho hayo ni pamoja na kuongeza kiwango cha faini kwa kila kosa la uvunjifu wa sheria. Kwa sasa kosa moja faini ni sh 30,000
Mh Masauni amesema hayo wakati akijibu swali la nyongeza kutoka kwa mh Husna Mwilima.
Source star tv