Serikali kuondoa utitiri wa kodi kwa wananchi

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12799190_1048795311851593_7683505485574698113_n.jpg

Safi sana kwa hili unafuu wa maisha lazima upatikane, kuwabana matajiri kwa kuziba mianya ya kukwepa kodi na rushwa Tutatoka tu muda si mrefu chini ya Dk. Magufuli na wala si kwa kuzungusha mikono
 
CCM hawawezi kuwaondolea wananchi kero ya kodi. Ni Tanzania pekee ndiyo inatoza PAYE kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki yaani 16% wakati nchi zingine hutoza kwa kiwango cha single digit kuanzia 9% kushuka chini. Kipindi cha JK, serikali ililalamikiwa sana kuhusu kuwapunguzia watumishi kodi lakini badala ya kupunguza wao wakawa wanaongeza. Serikali ya CCM ni ya kisanii na itaendelea kuwa hivyo.
 
Kama kodi zipi zitaondolewa?.. Wengine tunatumia simu nimeshindwa kusoma hilo gazeti...
 
12799190_1048795311851593_7683505485574698113_n.jpg

Safi sana kwa hili unafuu wa maisha lazima upatikane, kuwabana matajiri kwa kuziba mianya ya kukwepa kodi na rushwa Tutatoka tu muda si mrefu chini ya Dk. Magufuli na wala si kwa kuzungusha mikono
Sawa kabisa!
 
Tunamshukuru ndugu Kinana KM Wa CCM, am kweli zile ahadi alizotoa alipotembelea nchi nzima, tunaziona Ahadi zake zikitimizwa.
 
CCM hawawezi kuwaondolea wananchi kero ya kodi. Ni Tanzania pekee ndiyo inatoza PAYE kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki yaani 16% wakati nchi zingine hutoza kwa kiwango cha single digit kuanzia 9% kushuka chini. Kipindi cha JK, serikali ililalamikiwa sana kuhusu kuwapunguzia watumishi kodi lakini badala ya kupunguza wao wakawa wanaongeza. Serikali ya CCM ni ya kisanii na itaendelea kuwa hivyo.

PAYe ya tz sio 16% inategemea hela unayopata mkuu ni wizi mtupu.
 
Tunamshukuru ndugu Kinana KM Wa CCM, am kweli zile ahadi alizotoa alipotembelea nchi nzima, tunaziona Ahadi zake zikitimizwa.
Inawezekana kabisa na mfumo huo ameiga nchi ya Cuba. Wao yale matycoon wanatozwa kodi kubwa ili kuwainua wanyonge wa chini.
 
!
!
Kodi tulipe ila siyo kubwa namna hii. Yaani kwa mfanyakazi kila mwisho wa mwezi anaacha angalau 30% ya mshahara wake kwenye makato makato makato.
 
CCM hawawezi kuwaondolea wananchi kero ya kodi. Ni Tanzania pekee ndiyo inatoza PAYE kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki yaani 16% wakati nchi zingine hutoza kwa kiwango cha single digit kuanzia 9% kushuka chini. Kipindi cha JK, serikali ililalamikiwa sana kuhusu kuwapunguzia watumishi kodi lakini badala ya kupunguza wao wakawa wanaongeza. Serikali ya CCM ni ya kisanii na itaendelea kuwa hivyo.
Huu nao ni UKAWA kuropoka tu bila statistics. PAYE 16% ndiyo nini sasa? PAYE inatozwa 11% for amounts above Tzs170,000 and increases to 30% for amount above Tzs720,000

Kenya inaanzia 10% for amount kuanzia 0 hadi Ksh10,000 na hadi 30% kwa amount above Ksh38,982

Sasa dadavua ni hiyo 16% uwaelimishe watanzania siyo kuwapotosha kwa kuzungusha mikono hewani.
 
Back
Top Bottom