Serikali kumsaka nyoka mwenye miaka 209

average life span 22 years record is 47 years. Nyoka wa umri miaka 207 NAHISI uzushi, mradi wa kupata chochote kitu. How do you determine age from genetic material? ( only aware of radio carbon method of determining age of fossils)

well said mkuu! haiwezekani nyoka akaishi miaka 209! duh! amekuwa vampire ama ..?
 
Uzuri watanzania kila raia ni mtaalam wa mambo ya usalama na uchunguzi, mtafiti wa mambo ya bahari, daktari wa binadamu, mhandisi wa barabara, mkaguzi wa mahesabu na mganga wa kienyeji.
 
Wanaposema ana miaka 209 wametumia vigezo gani kuukadiria huo umri huku wakiwa hawajamkamata? au wakati anazaliwa kuna mtu alimuona?
 
Jamani umeambiwa nyoka huyo giant forest cobra ana kichwa cha rangi nyekundu kisha kiwiliwili cha kijana then ndio utofauti wa forest cobra na huyo, na imawezekana ndio wa kwanza duniani so go on Magamba kwa kutufanya tujulikane duniani kwa kuwa na nyoka mwenye umri mkubwa na pia wa aina yake duniani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom